Africa bado bado: Watch "Landing in São Paulo city, Congonhas airport. Flying low over skyscrapers''

Sijui atakujibu na excuse ipi hapa tena,
Badala ajikite kwenye mada yeye ni ujinga tu,
Ona sasa umempa jibu kubwa kuliko uwezo wake mdogo wa kufikiri 😂😂😂
 
Mbona zipo nyingi tu. Shida ni kwamba you guys are good at denial. You've perfected it. Nakumbuka there's a time you guys said slum ni mahali iko na nyumba za mabati madirisha udongo. in that picture above, I can't see a mud house or nyumba ya mabati yet according to Brazilian standards it's a slum. Hata USA kuna slums, according to their standards. What they call ghettos. These places have roads and electricity yet they are still called slums. Ile Kariobangi mnayoitanga slum, 80% za nyumba ni apartment blocks with electricity but you still call it a slum.
Does this Dar neighbourhood look any better than that picture above?
 
Hta ile yao ya mwanza imejengwa na serikali
 
We jamaa inabidi ibadilike ,kila uzi lazima ulete Mishe zako Za kijinga
 
Ukiangalia video ya Singapore utaachwa midomo wazi.
Duh! What the F*&^K!!!!! Hio video kuangalia unaburudika hata kuliko kuangalia movie.. Yani kuna nchi zimetuacha na mbali sanaaaaaa!
 
Wah..... Enyewe bado tuko nyuma sana. Mimi saa zingine hua najiuliza hizi magorofa zote wanafanyianga nini. That's now true definition of a mega city
[emoji2][emoji2][emoji2]zinawapangaji izo...watu ni wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…