moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) limeshatuma malalamiko yao kwa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) likidai kuwa timu ya wanawake ya Equatorial Guinea ilichezesha wanaume wawili kwenye mashindano ya Afrika kwa wanawake wachezaji hao ni golikipa na nahodha wa kikosi hicho Genoveva Anonma na mshambuliaji Salimata Simpore
>wanaolalamikiwa ni huyo Golikipa na Mshambuliaji mwenye jezi nyekundu (picha)
>wanaolalamikiwa ni huyo Golikipa na Mshambuliaji mwenye jezi nyekundu (picha)