AFRICA BANA

AFRICA BANA

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) limeshatuma malalamiko yao kwa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) likidai kuwa timu ya wanawake ya Equatorial Guinea ilichezesha wanaume wawili kwenye mashindano ya Afrika kwa wanawake wachezaji hao ni golikipa na nahodha wa kikosi hicho Genoveva Anonma na mshambuliaji Salimata Simpore

>wanaolalamikiwa ni huyo Golikipa na Mshambuliaji mwenye jezi nyekundu (picha)
IMG-20181109-WA0016.jpeg
 
Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) limeshatuma malalamiko yao kwa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) likidai kuwa timu ya wanawake ya Equatorial Guinea ilichezesha wanaume wawili kwenye mashindano ya Afrika kwa wanawake wachezaji hao ni golikipa na nahodha wa kikosi hicho Genoveva Anonma na mshambuliaji Salimata Simpore

>wanaolalamikiwa ni huyo Golikipa na Mshambuliaji mwenye jezi nyekundu (picha)View attachment 927255

Hata Mimi kila nikijitahidi Kuziangalia Sura zao ' Komavu ' kabisa sioni dalili yoyote ile ya Wao Wawili kumiliki ' Mbunye ' katika Himaya zao za Sirini.
 
Back
Top Bottom