moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Unajitahidi kwa kuzoom vipi unatuma lensi gani mkuu?Mbona hata huyo namba 2 kama dume,.mkia unaonekana kabisaa kwa bukta yake,.
Lenzi mbinuko mkuu..Unajitahidi kwa kuzoom vipi unatuma lensi gani mkuu?
ConfessionMbona hata huyo namba 2 kama dume,.mkia unaonekana kabisaa kwa bukta yake,.
Uko vizuri[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Lenzi mbinuko mkuu..
Huyo kwenye picha ni wewe? Nakufananisha na dada mmoja nafahamiana nae.
Mkuu,inavyoelekea unayo ex-ray vision!Mbona hata huyo namba 2 kama dume,.mkia unaonekana kabisaa kwa bukta yake,.
Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) limeshatuma malalamiko yao kwa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) likidai kuwa timu ya wanawake ya Equatorial Guinea ilichezesha wanaume wawili kwenye mashindano ya Afrika kwa wanawake wachezaji hao ni golikipa na nahodha wa kikosi hicho Genoveva Anonma na mshambuliaji Salimata Simpore
>wanaolalamikiwa ni huyo Golikipa na Mshambuliaji mwenye jezi nyekundu (picha)View attachment 927255
Hamli mboga za majanii ndio maana hamuonii😃😃Mkuu,inavyoelekea unayo ex-ray vision!
Nimecheka mieMbona hata huyo namba 2 kama dume,.mkia unaonekana kabisaa kwa bukta yake,.
Cheka mwaya usizeeke..Nimecheka mie
tomboyHata Mimi kila nikijitahidi Kuziangalia Sura zao ' Komavu ' kabisa sioni dalili yoyote ile ya Wao Wawili kumiliki ' Mbunye ' katika Himaya zao za Sirini.