Hapana mkuu ata kwangu jibu ni hilo hilo, najaribu kutafuta link ili niiweke hapa.Currently live streams are not available for this broadcast.
Now we are searching live streams, please visit later.
Napata ujumbe huo, kwako inaonekana?
Heri ya nusu shari kuliko shari kamili.Hapana mkuu ata kwangu jibu ni hilo hilo, najaribu kutafuta link ili niiweke hapa.
ila nasikia channel ya angola (Tpa) inaonesha, sijui hiyo channel inapatikana king'amuzi ganiHeri ya nusu shari kuliko shari kamili.
Kama una app ya Livescore fuatilia hapo vinginevyo fuata link hii:
m.livescore.com/
Ahsante mkuu, sasa huku kwetu na umeme leo hakuna, na hizi Smartphone kwa chaji ni majanga duh, ila tutawapiga hivyo hivyo tu manina.Heri ya nusu shari kuliko shari kamili.
Kama una app ya Livescore fuatilia hapo vinginevyo fuata link hii:
m.livescore.com/
Africa?Kila kona Afrika Leo ni Yanga, Yanga. Wishing Yanga all the best.
Mkuu wanaonesha?Dak. 10: Sagrada 0-0 Yanga.
dua la kuku hilo?? mtazidi kubaki matopeniYanga0- sagrada 4.yanga out
Dak. 30: Sagrada 0-0 Yanga.Jamani tupieni matokeo
Safi sana.Dak. 30: Sagrada 0-0 Yanga.
Shukran ndugu yangu maana kuna mtu kanambia tupo nyuma bao moja.Dak. 30: Sagrada 0-0 Yanga.
Jamani hata kuchagua timu za kushangilia mnaleta mambo ya uchawi tena?Enyi Mikia ..., ni nani aliyewaroga?