Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Meku Deogratius Munishi kanifura_furahisha sana, naomba mwenye namba yake ya M-PESA aiweke hapa jamvini nimtumie shukrani zangu, sitanii kabisa. Natanguliza shukrani kwa ushirikiano wako.

ONYO:
Usijaribu kufanya udanganyifu wa aina yoyote, Cyber Crimes Act, 2015 iko kazini.
 
Baada ya kupitia kwenye mitandao nimechambua team zilizofuzu kwa kuiangalia uwiano wa matokeo(naweza kua nimekosea so mtanirekebisha)
Mpaka sasa team zilizofuzu ni :
1.YANGA SC - Tanzania.
2.TP MAZEMBE - Congo
3.ETOILE DU SAHEL - Tunisia
4.MADIAMA - Ghana
5 .AL AHLY TRIPOL - Libya
6.MO Bejaia - Algeria
7.FUS Rabat - Morocco
8.Kawkab Marrakech - Morocco
Aisee shughuli bado pevu waarabu wameingiza kama timu tano!!! Lakini sio mbaya tutakomaa nao hivyo hivyo
 
Meku Deogratius Munishi kanifura_furahisha sana, naomba mwenye namba yake ya M-PESA aiweke hapa jamvini nimtumie shukrani zangu, sitanii kabisa. Natanguliza shukrani kwa ushirikiano wako.

ONYO:
Usijaribu kufanya udanganyifu wa aina yoyote, Cyber Crimes Act, 2015 iko kazini.
kweli poti.....nami nimo.
 
Back
Top Bottom