gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,666
Mechi imechezwa kama dkk 100 na kitu hivi
kumbuka mechi ya African sports Tanga pia mlicheza dakika 100 hadi mlipochomoa goli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi imechezwa kama dkk 100 na kitu hivi
Yanga wa kimataifaHaaa, mbwembwe nyingi halafu yaishia kufungwa 1-0,?? Hovyoooo
Weka picha acha blaa blaaKipa wa Yanga kapigwa jiwe.
Wewe Acha kudanganya wakubwa wenzio, Game ya Africans Sports vs Yanga ziliongezwa dakika 5, na dakika ya 4 na sekunde ya 45 Kamusoko anafunga goli baada ya kupokea pasi ya mpira wa kichwa uliotoka kwa Donald Ngoma.kumbuka mechi ya African sports Tanga pia mlicheza dakika 100 hadi mlipochomoa goli
Alikaa golini mechi na Al Ahly klabu bingwaView attachment 348773Mashabiki wa Yanga wakimpongeza Dida kwa kazi nzuri aliyoifanya leo Angola ikiwa ni pamoja na kuokoa penati.
Baada ya kupitia kwenye mitandao nimechambua team zilizofuzu kwa kuiangalia uwiano wa matokeo(naweza kua nimekosea so mtanirekebisha)
Mpaka sasa team zilizofuzu ni :
1.YANGA SC - Tanzania.
2.TP MAZEMBE - Congo
3.ETOILE DU SAHEL - Tunisia
4.MADIAMA - Ghana
5 .AL AHLY TRIPOL - Libya
6.MO Bejaia - Algeria
7.Kawkab de Mallakesh -
8.FUS Rabat - Morocco
Baada ya kupitia kwenye mitandao nimechambua team zilizofuzu kwa kuiangalia uwiano wa matokeo(naweza kua nimekosea so mtanirekebisha)
Mpaka sasa team zilizofuzu ni :
1.YANGA SC - Tanzania.
2.TP MAZEMBE - Congo
3.ETOILE DU SAHEL - Tunisia
4.MADIAMA - Ghana
5 .AL AHLY TRIPOL - Libya
6.MO Bejaia - Algeria
7.Kawkab de Marrakech - Morocco
8.FUS Rabat - Morocco
Inaweza kuwa mbeleko ya kuwabeba wa matopeni kupanda ndege kimataifaHongereni yanga ushindi wenu unaweza tusaidia Tanzania kuongezewa idadi ya timu klab bingwa au kombe la washindi
Ila kwa style yao hii ya kuwa na kikosi cha kuunga unga udhani wanastahili kwenda kushiriki kimataifa kweli Hii Mikia!!!!!!!! Wangesubiri kwa Miaka 10 ili wajiandae kushiriki kimataifaInaweza kuwa mbeleko ya kuwabeba wa matopeni kupanda ndege kimataifa