Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Young african (TZ) 2-0 Esperanca (ANG)
Esperanca (ANG) 1-0 Young african (TZ)
Aggregat 1-2
Young mbele daima
 
SHUJAAA+DIDA.jpg
Mashabiki wa Yanga wakimpongeza Dida kwa kazi nzuri aliyoifanya leo Angola ikiwa ni pamoja na kuokoa penati.
 
Hongereni yanga ushindi wenu unaweza tusaidia Tanzania kuongezewa idadi ya timu klab bingwa au kombe la washindi
 
Haaa, mbwembwe nyingi halafu yaishia kufungwa 1-0,?? Hovyoooo
 
RATIBA MECHI ZA MARUDIANO MCHUJO WA KUWANIA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO
Jumanne Mei 17, 2016
Esperance (Tunisia) Vs MO Bejaia (Algeria) (0-0)
Stade Gabesien (Tunisia) Vs TP Mazembe (DRC) (0-1)
Jumatano Mei 18, 2016
Sagrada Esperanca (Angola) Vs Yanga SC (Tanzania) (0-2)
FUS Rabat (Morocco) Vs Stade Malien (Mali) (0-0)
CF Mounana (Gabon) Vs Etoile du Sahel (Tunisia) (0-2)
Misr Makkassa (Misri) vs Ahly Tripoli (Libya) (0-0)
Medeama (Ghana) Vs Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini) (1-3)
Kawkab (Morocco) Vs El Merreikh (Sudan) (0-1)
 
Napenda kuwashukuru sana wapenzi wa Simba mlioweka kando unazi wenu na kuishangilia Yanga kwa maslahi ya Taifa.

Nichukue fursa hii pia kuomba laana ya Mwenyezi Mungu iwashukie wale wote walioitakia mabaya Yanga katika mchezo huu wa leo.

Tubadilike; yanapokuja mashindano ya kimataifa tuungane kwa maslahi ya Taifa letu. Tukirudi mchangani tuendelee na zomeazomea yetu pamoja na ndumba kwa kwenda mbele.

Yanga mbele daima, nyuma mwiko.

Asante Mungu kwa baraka zako na kutufanikisha kutinga hatua ya nane bora ya kombe la Shirikisho barani Afrika, sifa na utukufu zikurudie wewe, asisifiwe mtu yeyote hata kama ni Dida aliyepangua penati bali usifiwe wewe pekee kwa kufanikisha yote haya kwa maana uwezo na nguvu na utukufu ni vyako milele, amina.
 
kumbuka mechi ya African sports Tanga pia mlicheza dakika 100 hadi mlipochomoa goli
Wewe Acha kudanganya wakubwa wenzio, Game ya Africans Sports vs Yanga ziliongezwa dakika 5, na dakika ya 4 na sekunde ya 45 Kamusoko anafunga goli baada ya kupokea pasi ya mpira wa kichwa uliotoka kwa Donald Ngoma.
Siku nyingine usilete Utoto humu.
 
View attachment 348773Mashabiki wa Yanga wakimpongeza Dida kwa kazi nzuri aliyoifanya leo Angola ikiwa ni pamoja na kuokoa penati.
Alikaa golini mechi na Al Ahly klabu bingwa
Afrika akishuhudia goli la jioni na lililobaki kama
alama ya uchungu kwake , wanayanga na
watanzania kwa ujumla . Goli lililoiondoa Yanga
katika michuano hiyo .
Leo tena akiwa langoni dakika zile zile refa ana
amuru ipigwe pennati langoni mwake .
Alivuta pumzi ndefu na kulitazama benchi la
ufundi kisha wachezaji wenzake na kwa haraka
fikra zake zikasafiri maelfu ya kilomita hadi
nchini kwake ( kwetu) na kuziona nafsi karibu
milioni 40 zikijenga tumaini la magharibi juu yake
, . Taifa nzima likimtazame yeye aamue furaha
yao au wahuzunike tena ...
Aliuma meno na na kujiweka sawa langoni .
.... Penati akaipangua ... Taifa likazizima kwa
furaha ... mikono yake ikawa mali kuliko almasi
za waangola... Kwa hasira na jiwe wakampiga..
Wakamuona adui na katili mkubwa kuliko nduli
wao hayati Jonasi Savimbi aliyewatesa kwa
miongo kadhaa... Oooh Dida...
Una neno gani kwake?! !
 
Baada ya kupitia kwenye mitandao nimechambua team zilizofuzu kwa kuiangalia uwiano wa matokeo(naweza kua nimekosea so mtanirekebisha)
Mpaka sasa team zilizofuzu ni :
1.YANGA SC - Tanzania.
2.TP MAZEMBE - Congo
3.ETOILE DU SAHEL - Tunisia
4.MADIAMA - Ghana
5 .AL AHLY TRIPOL - Libya
6.MO Bejaia - Algeria
7.FUS Rabat - Morocco
8.Kawkab Marrakech - Morocco
 
Baada ya kupitia kwenye mitandao nimechambua team zilizofuzu kwa kuiangalia uwiano wa matokeo(naweza kua nimekosea so mtanirekebisha)
Mpaka sasa team zilizofuzu ni :
1.YANGA SC - Tanzania.
2.TP MAZEMBE - Congo
3.ETOILE DU SAHEL - Tunisia
4.MADIAMA - Ghana
5 .AL AHLY TRIPOL - Libya
6.MO Bejaia - Algeria
7.Kawkab de Mallakesh -
8.FUS Rabat - Morocco
 
Baada ya kupitia kwenye mitandao nimechambua team zilizofuzu kwa kuiangalia uwiano wa matokeo(naweza kua nimekosea so mtanirekebisha)
Mpaka sasa team zilizofuzu ni :
1.YANGA SC - Tanzania.
2.TP MAZEMBE - Congo
3.ETOILE DU SAHEL - Tunisia
4.MADIAMA - Ghana
5 .AL AHLY TRIPOL - Libya
6.MO Bejaia - Algeria
7.Kawkab de Marrakech - Morocco
8.FUS Rabat - Morocco
 
May 18, 2016
Dundo , Angola

Arsenio 'Love' Cabungula, The 37-year-old 'Love' the leading Confederation Cup scorer this season with six goals, missed a late penalty for Angolan club Sagrada Esperanca as they bowed out. Also Arsenio 'Love' Cabungula long career saw him playing for Angola at the 2006 World Cup in Germany.

Esperanca won the return match against Young Africans of Tanzania 1-0 in remote Angolan mining town Dundo thanks a first half goal from Cabungula, but were eliminated 2-1 on aggregate.

Source: Afrotaças2016: Sagrada Esperança-Young African Town (Ficha-técnica)

N.B
Nawapa pongezi timu ya Yanga na washabiki wao wa JF kwa kuiwakilisha vyema Tanzania kimataifa. Sisi washabiki wa Azam FC hatuna kinyongo bali inatupa changamoto kufanya vizuri Zaidi kimataifa 2016/ 2017.
 
Hongereni yanga ushindi wenu unaweza tusaidia Tanzania kuongezewa idadi ya timu klab bingwa au kombe la washindi
Inaweza kuwa mbeleko ya kuwabeba wa matopeni kupanda ndege kimataifa
 
Inaweza kuwa mbeleko ya kuwabeba wa matopeni kupanda ndege kimataifa
Ila kwa style yao hii ya kuwa na kikosi cha kuunga unga udhani wanastahili kwenda kushiriki kimataifa kweli Hii Mikia!!!!!!!! Wangesubiri kwa Miaka 10 ili wajiandae kushiriki kimataifa
 
Back
Top Bottom