TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 862
Kodivaa ndio mabingwa wa Afrika mwaka 2015
Namaanisha zile TV znazopatikana kwenye ving'amuzi vyetu hapa bongo. I mean ; Star times,Azama e.t.c.
Naombeni msaada wenye kujua hilo.
Super sport , Mimi naipata hapa hapa bongo
Mlio na uwezo huo bongo ni wachache,tulio tunasubili Azam,startimes,Digtek,continental watubebe akina sie kwangu pakavu...
Namaanisha zile TV znazopatikana kwenye ving'amuzi vyetu hapa bongo. I mean ; Star times,Azama e.t.c.
Naombeni msaada wenye kujua hilo.
Azam Tv..hii ni kwa uhakika zaidi
Mlio na uwezo huo bongo ni wachache,tulio tunasubili Azam,startimes,Digtek,continental watubebe akina sie kwangu pakavu...
Acha wewe siku hizi dstv bei rahisi tu sh 99,000 kisembuzi,sh 17,000 kwa mwezi channel zaidi ya 65 Epl nakula,world cup afcon uefa nakula supersport select 1 & 2
King'amuzi cha AZAM, chanel inaitwa FOX SPORTS.

TBC 2 watarusha na kuanzia mechi ya ufunguzi SAA 1 jioni kesho
Wametangaza ivyo mkuu?