Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

10987302_767598666666392_1279361178217749368_n.jpg
 
Kitu ambacho sijakipenda kwenye kombe hili ni kuwa tuna makocha wengi kutoka nje .Mpira wetu hauwezi kuendelea kama hatuamini Ngozi yetu.Iwekwe sheria ya makocha kutoka Afrika tu.

Hoja yako haina mashiko...ha makocha wa nje wanaleta mbinu na ufundi kwenye timu za Afrika, na timu zinapopata mafanikio yanahesabiwa kama mafanikio ya timu za Afrika na si ya nchi wanapotoka hao makocha, ebo!
 
Niambie kwanza timu yoyote ambayo imeshawahi kushinda kombe la dunia wakiwa na kocha wa nje.

Tatizo. letu hatuoni mbali
 
Makocha wa kiafrika wanaweza kufundishwa wakawa bora kuliko wa nje acha inferiority complex yako kama ya muhogo.
 
Mie sina Mkuu naangalia kwenye TV, jaribu kugoogle unaweza kufanikiwa kuzipata. Hongera mdudu Nzi enjoy the final game. Victoire Katavi leo anashabikia timu ipi ili tuanze kutabiri mshindi lol!!!

Hajasema,sijui hayupo.Angekuwa na team hapa tungekuwa tushajua nani atabeba kombe

Katavi eeh, eti leo uko na team gani?

Hahahaah,,,,,,,niliogopa kuingia huku maana yangekuwa yale ya Brazil kila timu ninayoshabikia inachezea kichapo. Nilikuwa nafuatilia kimya kimya na zaidi timu niliyokuwa naisapoti DRC kutolewa hata fainali hii haikuwa na mvuto kwa upande wangu.
 
Hahahahahaha lol!!! Hongera kwa kuwa mkweli Mkuu.

CC: everlenk, Victoire

Hahahaah,,,,,,,niliogopa kuingia huku maana yangekuwa yale ya Brazil kila timu ninayoshabikia inachezea kichapo. Nilikuwa nafuatilia kimya kimya na zaidi timu niliyokuwa naisapoti DRC kutolewa hata fainali hii haikuwa na mvuto kwa upande wangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom