Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Naona mzungu anacheza kiduku, yaani hana rythm kabisa basi tabu tu.
 
naona dikteta issa hyatoo ametembelewa na dikteta mwenzake sepp blatter
 
Ghana wanapita kinyonge kuchukua medali zao za ushindi wa pili...
 
Drogba na U star wake wote alishindwa kuchukua kombe akiwa na TIMU YAKE YA TAIFA.
 
Haka kabwana mdogo Ayew naona hakaachi kulia...
 
Ni nderemo na vifijo kwa wachezaji na mashabiki wa timu ya taifa la Ivory Coast baada ya kufanikiwa kuibwaga timu ya taifa la Ghana kwa mikwaju ya penati 9-8, ni usiku huu ambao unamfanya golikipa wa Ghana kuibuka shujaa, amepangua penati na amefunga
 
Hawa jamaa waliteseka sana Kalou alipokosa penalty, wacha mwaka huu na wao washangilie.
 
Sasa ni zamu ya mabingwa kupewa medali na mwali wao...
 
Ni nderemo na vifijo kwa wachezaji na mashabiki wa timu ya taifa la Ivory Coast baada ya kufanikiwa kuibwaga timu ya taifa la Ghana kwa mikwaju ya penati 9-8, ni usiku huu ambao unamfanya golikipa wa Ghana kuibuka shujaa, amepangua penati na amefunga
???????????????,
 
Namuona Guillame Soro waziri mkuu wa Ivory coast anafuraha kweli
 
Yaya Toure anakabidhiwa mwali na rais wa E.G.
 
Huyu Golikipa wa Ghana ndo katumaliza kabisa, penati kumi kashindwa kuchez hata moja na ya kwake kamplekea Barry mkononi.

Masuke uwe na huruma kidogo..hiki kizazi cha Ivory Coast kingeisha bila kubeba hili kombe ingekuwa jambo la kusikitisha sana kwenye historia zao, namuonea huruma Drogba pia.

Atleast vijana wa Ghana bado wana muda wa kurudia tena.
 
naona dikteta issa hyatoo ametembelewa na dikteta mwenzake sepp blatter

Hakika hawa ni madikteta wa soka. Tangu nabarehe naisikia mizee hii tu, sijui mtangulizi wa Sepp blatel Joao Avalenge naye alikuwa hivi hivi.
 
Bye, tunaonana Libya 2017 Mungu akipenda, Shukrani nyingi kwa Equatorial Guinnea kwa kuokoa mashindano.
 
Back
Top Bottom