Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu ambacho sijakipenda kwenye kombe hili ni kuwa tuna makocha wengi kutoka nje .Mpira wetu hauwezi kuendelea kama hatuamini Ngozi yetu.Iwekwe sheria ya makocha kutoka Afrika tu.
Hoja yako haina mashiko...ha makocha wa nje wanaleta mbinu na ufundi kwenye timu za Afrika, na timu zinapopata mafanikio yanahesabiwa kama mafanikio ya timu za Afrika na si ya nchi wanapotoka hao makocha, ebo!
Umeona ee nilivyowapa?Kwahiyo we ndo unawapa ubingwa ivory coast???? Teh te teh
Hajasema,sijui hayupo.Angekuwa na team hapa tungekuwa tushajua nani atabeba kombe
Katavi eeh, eti leo uko na team gani?
Hahahaah,,,,,,,niliogopa kuingia huku maana yangekuwa yale ya Brazil kila timu ninayoshabikia inachezea kichapo. Nilikuwa nafuatilia kimya kimya na zaidi timu niliyokuwa naisapoti DRC kutolewa hata fainali hii haikuwa na mvuto kwa upande wangu.