Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Watu wapobusy na EPL wamesahau kabisa Afcon maana kil bar wameweka EPL nimeamua kurudi nyumbani tu
 
Mi nipo congo nacheki kupitia tbc2 bt ushindi nawapa Ghana.
Jamani Nigeria ntawamiss nilitaka kuona makeke ya vincent enyama
 
Hivi kwa nini haya mashindano yanakosa mvuto, mbona coa america wananchi wao wanafuatilia sana, africa tuko busy na Epl


Biashara ni matangazo mkuu.

Hii michezo inatakiwa pia kuwa na malengo ya kutegeneza pesa. Kwa hiyo waandaaji na wadhamini wao wanatikiwa kuwekeza pesa zaidi ili kuvuta mashabiki. EPL imefanikiwa katika hilo!
 
E. Guinea 1 Congo 1

Ukikosa kuona kwenye TV basi Radio Maisha ya Kenya wanatangaza live na online.
 
Burkinafaso na gabon mechi inachezwa saa ngapi wadau?
 
Taifa Stars walicheza jana nadhani@Muhomakilo jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…