dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Nakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC.
Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni dalili za kufanyia kwa ligi hii.
Sasa basi kupitia jukwaa hili naombeni taarifa rasmi ni nini kimetokea.
Noted, Nimeambiwa AFL makao yake makuu ni Rwanda, kigali pia mimi Dr niwata wacc email yangu hiyo