dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Waulize Makolo mana wao wapo kwenye Chama hikiNakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC.
Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni dalili za kufanyia kwa ligi hii.
Sasa basi kupitia jukwaa hili naombeni taarifa rasmi ni nini kimetokea.
Noted, Nimeambiwa AFL makao yake makuu ni Rwanda, kigali pia mimi Dr niwata wacc email yangu hiyo
CAF hawajitambui hao.Yameahirishwa kwa sababu ya FIFA CLUB WORLD CUP
Mwaka huu imeahirishwa ,wanataka wamalize msimu huu Ili next year wafute confederation wa introduce hiyo AFL.Nakumbuka mwaka jana miezi kama hii ndio AFL ilizinduliwa na tukaambiwa hiiyo ndo itakuwa ligi kuu kubwa zaid badal ya CAF Championship CAFCC.
Sas naona kimya as if hakuna lolote lile na sioni dalili za kufanyia kwa ligi hii.
Sasa basi kupitia jukwaa hili naombeni taarifa rasmi ni nini kimetokea.
Noted, Nimeambiwa AFL makao yake makuu ni Rwanda, kigali pia mimi Dr niwata wacc email yangu hiyo
Lakini pia wamesema watafuta Confederation cup mwaka ujao na kuanza rasmi AFL na Cuf Champions LeagueYameahirishwa kwa sababu ya FIFA CLUB WORLD CUP