Africa history made (Marejeo)

It is a not accidental that the two World Wars are sometimes referred to as White Wars. In most of the stories that are recorded it's only white heroes that appear. Blacks appear on as a passing people doing some minor works. The sad news is that even if they perform heroic deeds they are not rewarded and in most cases not even mentioned. History to honour our people should be written so that our children learn from our point of view. Otherwise they will be fed with wrong historical facts that always demean the black people.
 
It looks to me that Thomas Edison whom we have been taught that he made so many inventions was also a notorious patent thief. What a shame!
was also a notorious patent thief. What a shame!.. Kwa nini umekuwa na huu mtazamo hasi
 
was also a notorious patent thief. What a shame!.. Kwa nini umekuwa na huu mtazamo hasi
Katika taarifa nyingi tu ambazo nimesoma, huyu Edison pamoja na kuwa ni mgunduzi wa mambo mengi, alikuwa anapora ugunduzi wa watu wengine, hasa wasiokuwa na uwezo kifedha, na kuufanya mali yake. Hilo jambo linasikitisha sana.
 
OK OK sawa
 
Nyimbo za hawa jamaa alikuwa anapenda kuzisikiliza my brother miaka ya 1995
Nazipenda na Nina zisikiliza mpaka leo , ijapokuwa wakati wanavuma nilikuwa bado sijazaliwa , but Mimi nimpenzi wa music huwa nasikiliza old school Sana , so katika kusikiliza kwangu old school ndio nikajaga kubahatika kukutana na nyimbo zao Hawa jamaa Aisee ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Kuna nyimbo nyingine za Max priex aahhh Ni noma na nusu [emoji91][emoji91][emoji445][emoji444]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…