Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana. Historia hii ya vita vya pili vya Dunia imefunikwa kabisa. Hawataki kabisa kukubali kuwa Waafrika walikuwepo pia katika vita hii. Sinema zote zimejaa weupe tu. Huu ni upotoshaji wa historia wa hali ya juu.Sinema za vita zimegeuzwa za weupe nachukia, hii ni kofi kwa kizazi cha watu wakuu waliosaidia kuwashinda Nazi. Waamerika wa Kiafrika, Waafrika kutoka makoloni ya Ufaransa na Uingereza na pengine Afro Caribbeans wote walisaidia na kujitolea sana.View attachment 2434385