Africa history made (Marejeo)

Africa history made (Marejeo)

Mama Mmarekani Mweusi akiwafundisha watoto nambari na alfabeti nyumbani kwa sharecropper, Transylvania, Louisiana, Januari 1939 Picha na Russell Lee Picha kwa hisani ya: Kituo cha Schomburg cha Utafiti katika utamaduni wa Weusi, Kitengo cha Picha na Chapa
FB_IMG_1657371230222.jpg
 
"I mean, we had her on a pedestal, all of us. We put her on a pedestal, yes. Yes, what Beyonce said, she is the queen. I mean, she was."-Danyel Smith (2012)
FB_IMG_1657374999842.jpg
 
MKUMBUKE {OTA BENGA}

—Ndugu yetu huyu katika asili alitwaliwa kutoka jamhuri ya Afrika ya kati na kuwa sehemu ya maonesho ya wanyama huko Bronx mjini New York.

—Alizaliwa mwaka 1883 katika Misitu ya Ituri ambapo kwa sasa huitwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. alizaliwa kutoka katika jamii ya Wapigimi katika familia yenye watu 15 mpaka 20.

—Familia za Wapigimi ni jamii ya watu wanao hamahama mnamo 1885 mara baada ya mkutano wa Barini ulioigawa Afrika, Mfalme fedhuri Leopold II Kutoka Ubeligiji aliruhusiwa kutwaa nchi ya Kongo.

Benga aliporudi kutoka katika uwindaji akakuta jamii yake wamechinjwa na wengine kupelekwa katika mashamba ya mpira ili kulima mashamba ya mashetani kutoka Ubeligiji

—Baadae akatwaliwa na Jeshi la walowezi wa Kibeligiji na kwenda kutumikishwa katika mashamba yao ya mpira.

—Mnamo 1904 Benga aliachwa huru na Mmisionari wa kutoka Marekani ambaye alijihusisha na Elimu ya watu wa kale aliyejadiliana na waliommiliki na kupelekwa huko St. louis mnamo 1904.

—Baadae alikuwa akitumiwa katika maonesho kwenye majumba ya kufugia wanyama pori.

—Machi 20, 1916 kutokana na mfadhaiko ndugu Benga alijiua huko Lynchburg, Vijinia akiwa na miaka 33 tu.View attachment 2095270
Hii imeniuma sana, hasa mimi Rasta, nikiona uonevu wa mtu mweusi naumia sana
 
POEM[emoji181][emoji288]

I Am An African
I am an African
Not because I was born there
But because my heart beats with Africa’s
I am an African
Not because my skin is black
But because my mind is engaged by Africa
I am an African
Not because I live on its soil
But because my soul is at home in Africa

When Africa weeps for her children
My cheeks are stained with tears
When Africa honours her elders
My head is bowed in respect
When Africa mourns for her victims
My hands are joined in prayer
When Africa celebrates her triumphs
My feet are alive with dancing

I am an African
For her blue skies take my breath away
And my hope for the future is bright
I am an African
For her people greet me as family
And teach me the meaning of community
I am an African
For her wildness quenches my spirit
And brings me closer to the source of life

When the music of Africa beats in the wind
My blood pulses to its rhythm
And I become the essence of sound
When the colours of Africa dazzle in the sun
My senses drink in its rainbow
And I become the palette of nature
When the stories of Africa echo round the fire
My feet walk in its pathways
And I become the footprints of history

I am an African
Because she is the cradle of our birth
And nurtures an ancient wisdom
I am an African
Because she lives in the world’s shadow
And bursts with a radiant luminosity
I am an African
Because she is the land of tomorrow
And I recognise her gifts as sacred

FB_IMG_1657558244969.jpg
 
African Countries in the Caribbean Islands.

HISTORY OF ST LUCIA [emoji1228]

Most St Lucians are the descendants of enslaved Africans, brought in by the British in the 19th century to work on sugar plantations.

Although St Lucia is a former British colony, the French settled in the 17th century. Their influence lives on in the patois spoken in the country.

People of African descent are the majority in Saint Lucia, accounting for 82.5% of the country's population. An additional 11.9% of the country is multiracial, predominantly of Afro-European descent and Afro-Indian descent.

The British abolished the African slave trade in 1807, three years after former enslaved Haitians had gained their independence as the first black republic in the Caribbean but, it was not until 1834 that slavery was actually abolished on Saint Lucia.
Even after slavery was officially abolished, all former enslaved people had to serve a four-year ‘apprenticeship’ which forced them to work for free for their former slave masters for at least three-quarters of the work week, meaning final freedom did not come until 1838.
After Emancipation, many former enslaved people were unwilling to stay on as laborers on the plantations and the owners were forced to seek alternative manpower. Indentured East Indian laborers began arriving in 1882 to assist in the sugar industry which accounts for their presence and cultural influences clearly evident in Saint Lucia and throughout the Caribbean today.

#iloveafrica #myroots #myhome #myheritage #Africa #motherland #africandiaspora #africandescendants
FB_IMG_1657570266924.jpg
FB_IMG_1657570261500.jpg
FB_IMG_1657570258459.jpg
 
In 2006, Jay Z visited Angola & these children showed him the 6 miles they had to walk every day to get drinkable water for their families. Jay Z responded by spending millions to aid the construction of a pipeline & well which now supplies 3 different villages to this day. www.theafricanhistory.com
FB_IMG_1657570423115.jpg
 
MANENO " SHIKAMOO" NA " MARAHABA" YALIPOTOKEA.

Fredy Nyaluchi

kuna idadi kubwa ya watu miongoni mwetu tunatumia neno" shikamoo " kama sehemu ya kuonyesha heshima au salamu kwa watu waliotuzidi umri, ila ni muhimu sana tukaelewa maana ya historia ya maneno " shikamoo" na "marahaba" kama inavyoeleweka kuwa kila jambo lina mwanzo wake na sababu za kufanya Jambo hilo kuibuka.

Kabla ya miaka 600 BK , wabantu walikuwa wameshafika pwani ya afrika mashariki na ukweli ni kwamba wabantu walishapata kuishi hapo na hata wageni waliofika walikiri walikuwa na mitindo yao ya maisha na walikuwa wakiheshimiana.
Kikubwa zaidi wabantu walikuwa na salamu zao kwa mfano, wazaramo, walikuwa na salamu yao kama ifuatavyo, anayeamkia alinyoosha mikono yake mbele na kusema " Simbamwenee" na kisha anayeamkiwa huitikia " utwaa" na kila mtu alikuwa akifurahia salamu hiyo, iliyokuwa nzuri kuitamka.

Lakini mambo yalibadilika pale walipokuja waarabu na kuanzisha biashara ya utumwa . na hapo tukapata makundi mawili yaani " mtumwa" na "bwana" na mtumwa alipaswa kumwamkia bwana kwa neno la " Nashika miuu" akiwa na maana ya " Nashika miguu" . na kila mtumwa alipaswa kujua na kutambua salamu hii.
Na mtumwa alipaswa kutoa salamu hii hata mara 100 kwa siku moja, lengo la salamu hii ilikuwa ni kutenganisha kati ya mtumwa na bwana wake, kuanzia miaka ya 600-700 salamu hii ilikuwa ikitumika maeneo ya pwani tu, na kuanzia miaka ya 1700 mwishoni na 1800 mwanzoni waarabu walianza kuingia maeneo ya ndani ya Afrika mashariki .

Na kila walipofika salamu hii waliitumia na baadhi ya machifu waliipenda salamu hii, na kujikuta wakiwa na matamshi tofauti juu ya salamu hiyo, na kwa Wakati wote huo ilikuwa ni salamu ya" Nashika Miuu" na sio " "shikamoo" kama ilivyo sasa.
Kutokana na watu tofauti kutumia salamu hii wapo waliotamka "shikamuu" kama neno moja .na mpaka miaka ya 1930 kipindi ambacho kiswahili kinafanyiwa usanifishaji ndipo tukapata neno hili " shikamoo".
Na kuhusu neno " marahaba" lina maana ya " Asante" na neno hili huitikiwa na yule anayeamkiwa ( bwana) ambaye miguu yake imeshikwa na mtumwa, na mpaka sasa salamu hii inatumika sana na watanzania wengi licha ya kuwa na salamu zao za kikabila.
FB_IMG_1657590602088.jpg
 
Jimbo la Wazulu liliundwa na Shaka, ambaye alitawala kama mfalme kutoka 1816 hadi 1828. www.theafricanhistory.com Shaka alikuwa hadithi ya hadithi, na hadithi zilizofuata za maisha yake zinajumuisha unabii uliotabiri juu ya mtoto ambaye angefanya Wazulu kuwa mataifa ya kuogopwa zaidi. Mafanikio ya Shaka yalitokana na marekebisho aliyoyafanya kwenye silaha za jadi (mkuki, rungu, na ngao) pamoja na mikakati mipya ya vita. Alichukua seti za shule za kitamaduni za tohara na kuzigeuza kuwa regiments za kijeshi zenye ufanisi zaidi au impis. Vikosi vya Wazulu vinaweza kusafiri hadi maili 50 (kilomita 80) kwa siku na bado vinaweza kupigana vita mwishoni mwa maandamano hayo, wakati majeshi ya Uropa ya siku hiyo yaliweza kusafiri kwa shida maili 20 (kilomita 32) kwa siku na mara chache waliweza kushughulika na adui mwishoni mwa maandamano ya siku.
FB_IMG_1657592463587.jpg
 
These Strange Alien Skulls Found in Africa Could Rewrite Our History
Screenshot_20220712-164403.jpg
 
Back
Top Bottom