Unaleta takatak km hii , kuiongelea nchi km Tz mjinga kabisa ww, yani kwa akili za kuvuka barabara tu sioni nchi inayo izidi Tz kwa kujenga miundo mbinu kwa sasa....so baki na data uchwara zenuEbu toa takataka zako hapa, 2021 kuna mikoa huwezi fika bila kupiga vumbi.?
Et nyenyenyee sijui airport?
Chato nayo airport?
haya ndio yale yale ya kuchukua pato la taifa na kugawa kwa idadi ya watu ili kupata hesabu za hali zao za kimaisha.Tunamtandao wa 87k wa barabara tumepave 13k apo unaonaje
Tupe maoni yako ww ? Umeionaje hii list?Eti best roads in EA? Unavuta bangi gani?
Tulia bro sisi tunajichelewesha wenyewe, S.A. wanamtandao mkubwa zaidi wa barabara na wamepave zaidi ya 145khaya ndio yale yale ya kuchukua pato la taifa na kugawa kwa idadi ya watu ili kupata hesabu za hali zao za kimaisha.
mimi nimeuliza nyingi zinaanzia idadi gani, maana kwa nchi kama tz hata tufikishe 56k,bado tutaonekana hatujafanya kitu kulinganisha na nchi kama rwanda nk.
SA ni developed country in this bara.Tulia bro sisi tunajichelewesha wenyewe, S.A. wanamtandao mkubwa zaidi wa barabara na wamepave zaidi ya 145k
Serikali peke yake haiwezi kujenga barabara tutakesha sana tena sana lazima kue na utaratibu mbadala kama tunataka kupaa
Sisi tutasogea kwa mwendo wa kinyongaSA ni developed country in this bara.
hata umeme wanazalishwa mwingi KW za kutosha matumzi ya nchi hata 48 africa.
na bado wanakomaa maana bado ni ndogo pia.
Sasa unalia? Si basi ungeambia Mwenyezi Mungu afanye uzaliwe katika nchi ndogo. Nchi kubwa haiwezi kushindana na nchi ndogo likija kwenye swala la per capita development. Sio rahisi. Hata South Africa na Egypt wamejaribu sana maana wao ni nchi kubwa na wanafanya vizuri ila nchi nyingi kubwa ni useless na tutakuja kugawa umeme kwa kila mtu baada ya miaka ishirini au thelathini. Lami nayo tutajenga kona zote baada ya miaka hamsini au sitini. Kuwa katika nchi kubwa ni hasara ikiwa serikali haitajitahidi kuleta maendeleo kwa kila mtu. Angalia nchi mbovu kubwa kama Ethiopia ambayo zaidi ya raia wake nusu hawana umeme.haya ndio yale yale ya kuchukua pato la taifa na kugawa kwa idadi ya watu ili kupata hesabu za hali zao za kimaisha.
mimi nimeuliza nyingi zinaanzia idadi gani, maana kwa nchi kama tz hata tufikishe 56k,bado tutaonekana hatujafanya kitu kulinganisha na nchi kama rwanda nk.
sasa serikali inakomaa, wengine wanatanua mamidomo kwamba sio kipaumbele.Sisi tutasogea kwa mwendo wa kinyonga
Fikiria hata kama itatekelezeka kujenga 6006km kwa miaka 5 Huo ni wastani wa ongezeko la km 1200 kwa mwaka!! Bado tunagap la km 78k izo tutazimaliza lini?
ndio maana inafaa mtulie maana mkakati ni kuifanya tz kuwa ya maana.Sasa unalia? Si basi ungeambia Mwenyezi Mungu afanye uzaliwe katika nchi ndogo. Nchi kubwa haiwezi kushindana na nchi ndogo likija kwenye swala la per capita development. Sio rahisi. Hata South Africa na Egypt wamejaribu sana maana wao ni nchi kubwa na wanafanya vizuri ila nchi nyingi kubwa ni useless na tutakuja kugawa umeme kwa kila mtu baada ya miaka ishirini.
Yani ukifikiria deep sisi bado sana [emoji3][emoji3][emoji3]tunajitutumua tu lakini badosasa serikali inakomaa, wengine wanatanua mamidomo kwamba sio kipaumbele.
inabidi kuziba masikio tu.
Mlikuwa mnafanya nini wakati nchi kubwa wenzenu walikuwa wanajenga nchi zao?ndio maana inafaa mtulie maana mkakati ni kuifanya tz kuwa ya maana.
maana wakati egypt na SA wanajenga nchi zao hizi nyingine hazikuwa na nafasi ya kufanya hivyo, ikiwamo ya kwetu.
ndio maana huwezi kuta kuna battle kati ya tz na SA au Egypt, ni sawa na kuwanga mchana.Yani ukifikiria deep sisi bado sana [emoji3][emoji3][emoji3]tunajitutumua tu lakini bado
unajua ila kwakuwa unajifanya hujui, sikwambii.Mlikuwa mnafanya nini wakati nchi kubwa wenzenu walikuwa wanajenga nchi zao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio maana huwezi kuta kuna battle kati ya tz na SA au Egypt, ni sawa na kuwanga mchana.
Hapa Tz kuna mambo ndugu yangu kuyaelewa ni vigumu mnoMlikuwa mnafanya nini wakati nchi kubwa wenzenu walikuwa wanajenga nchi zao?
Katika maendeleo ya mtu mmoja mmoja yaani per capita development mpo nyuma sana na hata Kenya tupo nyuma. Mkenya mmoja au Mtanzania mmoja ni masikini kushinda Mshelisheli mmoja. Maana serikali ya ushelisheli ina eneo ndogo sana ya kujenga miundombinu na watu wachache wa kulisha na kusomesha. Ila pia kuna nchi ndogo mbovu tu kama Burundi ambayo ina watu wachache na ardhi ndogo ila Mburundi mmoja ni masikini kushinda Mtanzania mmoja. Yaani wale wamezembea kinyama hata kuwashinda licha ya nyinyi kuwa na watu wengi wa kulisha na kusomesha na kufungia maji na kufungia umeme. Kiuchumi tunasema Burundi has smaller Gni per capita than Tanzania na ndio maana Burundi bado ni Ldc na TZ ni middle income. Yaani ni aibu kubwa sana nchi ndogo kushindwa kulisha watu wake au kuwajengea barabara. Burundi ni kama nyumba ya watoto watatu ilhali wazazi wao wameshindwa kuwalisha au kuwasomesha na Tanzania ni kama nyumba ya watoto kumi na watano ilhali wazazi wamejitahidi na kulisha watoto wote na kusomesha watoto wote hadi angalau wakamaliza shule ya msingi, japo hawana uwezo wa kuendelea na masomo zaidi. Nadhani utakuwa umenielewa.Yani ukifikiria deep sisi bado sana [emoji3][emoji3][emoji3]tunajitutumua tu lakini bado
Mfano mzuriKatika maendeleo ya mtu mmoja mmoja yaani per capita development mpo nyuma sana na hata Kenya tupo nyuma. Mkenya mmoja au Mtanzania mmoja ni masikini kushinda Mshelisheli mmoja. Maana serikali ya ushelisheli ina eneo ndogo sana ya kujenga miundombinu na watu wachache wa kulisha na kusomesha. Ila pia kuna nchi ndogo mbovu tu kama Burundi ambayo ina watu wachache na ardhi ndogo ila Mburundi mmoja ni masikini kushinda Mtanzania mmoja. Yaani wale wamezembea kinyama hata kuwashinda licha ya nyinyi kuwa na watu wengi wa kulisha na kusomesha na kufungia maji na kufungia umeme. Kiuchumi tunasema Burundi has smaller Gni per capita than Tanzania na ndio maana Burundi bado ni Ldc na TZ ni middle income. Yaani ni aibu kubwa sana nchi ndogo kushindwa kulisha watu wake au kuwajengea barabara. Burundi ni kama nyumba ya watoto watatu ilhali wazazi wao wameshindwa kuwalisha au kuwasomesha na Tanzania ni kama nyumba ya watoto kumi na watano ilhali wazazi wamejitahidi na kulisha watoto wote na kusomesha watoto wote hadi angalau wakamaliza shule ya msingi, japo hawana uwezo wa kuendelea na masomo zaidi. Nadhani utakuwa umenielewa.
Uganda? Una kichaa wewe, Ug nimefika, naishi na wenyeji wa kule, kadanganye nyumbuTanzania miradi ipi?
Fly 2: nenda uganda au kenya kaone flyover zipo ngapi.
Kuna mikoa hadi leo hakuna barabara ya lami.
Uganga na kenya wana highway nyingi tuu, niembie Tanzania barabara ipi yenye hadhi ya super highway ( highspeed without interuption), barabara ambayo ni more than 3 lanes na unaweza tembea KM 10 bila interuption.
As propagandist govt portrays in your idiotic heads., major ports na revenue kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji23], airports na low income n traffic,[emoji1787][emoji23][emoji23], roads zenye hazionekeni kote kote [emoji1787][emoji23][emoji23], facts!List ni fake. Msituone wajinga. The country with the most functioning airports in EA, with three major ports, a major transit for goods from several countries. The country with the biggest road network in EA and the best roads in EA in not on the list. The most urbanised country in EA is not on the list
This is a joke.
We are not fools.