Africa Investment ni nini? Naona dalili ya kupigwa

Jahom

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2008
Posts
351
Reaction score
32
Nimeingizwa kwenye kundi linaitwa AFRIC INVESTMENT, wanataka niinguze hela na kuvuna kwa utaratibu kama ule wa DECI.

Anayelifahamu kundi hili atujuze, naona dalili ya kupigwa!!
 
Una macho na umeona halafu bado unauliza njia, tukikuita kichaa tutakuwa tunakosea?
 
Back
Top Bottom