J Jahom JF-Expert Member Joined Aug 26, 2008 Posts 351 Reaction score 32 Sep 28, 2022 #1 Nimeingizwa kwenye kundi linaitwa AFRIC INVESTMENT, wanataka niinguze hela na kuvuna kwa utaratibu kama ule wa DECI. Anayelifahamu kundi hili atujuze, naona dalili ya kupigwa!!
Nimeingizwa kwenye kundi linaitwa AFRIC INVESTMENT, wanataka niinguze hela na kuvuna kwa utaratibu kama ule wa DECI. Anayelifahamu kundi hili atujuze, naona dalili ya kupigwa!!
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Sep 28, 2022 #2 Jahom said: Nimeingizwa kwenye kundi linaitwa AFRIC INVESTMENT, wanataka niinguze hela na kuvuna kwa utaratibu kama ule wa DECI. Anayelifahamu kundi hili atujuze, naona dalili ya kupigwa!! Click to expand... Una macho na umeona halafu bado unauliza njia, tukikuita kichaa tutakuwa tunakosea?
Jahom said: Nimeingizwa kwenye kundi linaitwa AFRIC INVESTMENT, wanataka niinguze hela na kuvuna kwa utaratibu kama ule wa DECI. Anayelifahamu kundi hili atujuze, naona dalili ya kupigwa!! Click to expand... Una macho na umeona halafu bado unauliza njia, tukikuita kichaa tutakuwa tunakosea?
Tafuta Hela JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 1,546 Reaction score 2,983 Sep 28, 2022 #3 Pigwa kwanza sisi tupo bega na wewe