Africa is a blessed continent, Superpower the center of all civilation

wasumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
2,271
Reaction score
2,065
Kiukweli ndugu wa Afrika naandika bandiko hili sio kuwa mimi ni mnazi hapana ila inaniuma kusikia kuwa ndugu zetu wanaenda Israel kuhiji au Mecca siku gani utakuja kusikia kuna papa mweusi? hautakuja sikia milele

Hao wanaosema kuwa Afrika ni masikini ndio ila hawajui hadi sasa kuna nini kinatokea katika Afrika.

Watu watasaga meno watakapona mtawala atakayetawala dunia yote anatokea Afrika.

Matthew 6: 9-10
“After this manner therefore pray ye; our Father which art in heaven, hallowed be thy name. Thy Kingdom come. Thy will be done in earth, as it is in heaven.”

Achana na Israel walipomuua tu Jesus kingdom ya Mungu wakanyanganywa ufalme wa Mungu upo ndani yako (upo Afrika)
The stone which the builder rejected, the same is become the head of the corner: this is the Lord’s doing, and it is marvellous in our eyes?

Therefore, say I unto you, The kingdom of God shall be taken from you, and given to a nation bringing forth the fruits thereof.”
 
Ndiyo umemaliza muheshimiwa?
 
Tukiacha kutegemea waganga na uchawi na kufuata njia za elimu katika kutatua matatizo yetu ndipo tutakapoweza kutoboa. Imani za dini zina mchango mkubwa katika kustaarabika kwetu, ulozi umetufanya tusiweze kuendelea, tuache roho mbaya na kurogana.
 
Tukiacha kutegemea waganga na uchawi na kufuata njia za elimu katika kutatua matatizo yetu ndipo tutakapoweza kutoboa. Imani za dini zina mchango mkubwa katika kustaarabika kwetu, ulozi umetufanya tusiweze kuendelea, tuache roho mbaya na kurogana.
jiulize kwa nini hakujawah kuwa na papa mweusi ?
kwan sisi hatuwezi kuwa na dini tunaimba kinyakyusa tuna utawala wetu eeh kiongozi wetu anakuwa makao makii Nigeria mwafrika ..Afrika for Africans
 
Ukienda kila sehemu huko duniani wote wanaamini nchi zao ndio zimebarikiwa zaidi.

Ni vile tu wananyonywa na mabeberu au ni vile tu wanasiasa wao ni mafisadi.

Utaishia kucheka jinsi watu walivyo 'delusional', wako tayari kutengeneza sinema vichwani mwao inayowaonesha kuwa wao ndio bora zaidi kuliko kuukubali ukweli kuwa wao ni mikia hapa duniani.

Africa ni mkia! Ardhi inaweza kuwa imebalikiwa lakini watu ni mambumbumbu wa mwisho.
 
hawawezi kujua Africa ndio kuanzia sasa is beyond waafrika wenyewe wanavojua ....kuna nguvu kubwa ishafika Afrika wait and see
 
jiulize kwa nini hakujawah kuwa na papa mweusi ?
kwan sisi hatuwezi kuwa na dini tunaimba kinyakyusa tuna utawala wetu eeh kiongozi wetu anakuwa makao makii Nigeria mwafrika ..Afrika for Africans
Midhali tungali tunaishi papa mweusi atakuja tu, kwani nani alitarajia kuwa Obama angekuwa raisi wa US?
Wazungu ukristo umewashinda, hauendani na matashi ya nafsi zao. Kuhusu ukabila Nyerere mwenyewe aliuondoa, machifu wakawa ni wakuu wa matambiko tu. Na dini si kama klabu, dini ni mfumo mzima wa maisha ya mwanadamu hapa duniani wenye kuleta haki, uadilifu, upendo na mshikamano na kutuletea maarifa kwa wanadamu.
 
Nasema hichi from a technical and factual point of view.

Kitu walichokosa Waafrika wengi ni intuitive na adaptive thinking. Yaani uwezo natural wa kufikiri na kufikiria kuendana na hali husika. (Ni ngumu kidogo kutafsiri baadhi ya concepts kwa kiswahili na kuwa accurate.) Wengi bado wanajaribu kutatua changamoto zetu kwa njia zisizoendana na mazingira yetu, hivyo kukosa mabadiriko.

Tukiweza kutatua hilo tatizo sasa hivi, basi mabadiriko ni lazima. Nikipata muda nitaandika mada inayojadiri ngazi tofauti za ufikiri kwa kila binadamu na kwanini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…