Africa is a resource rich continent but its' people remain miserably poor. Ever asked yourself why? Get the answer here

Hakuna mwafrika mwenye akili ya kumletea maendeleo mwafrika mwenzake ni nature, hadi tutakapofikia level ya maturity labda.
 
Ndio Extrovert,hii document inaonyesha wazi kwamba Magufuli walimuua kwa kuwa alikwenda kinyume na interests zao.
That Dog died of covid 19,no body killed him,he killed many people here I TZ,tuache uvivu wa kufikili,hizi ni akili za kijinga sana kama waumin wa Mwamposa wanaoamini wakimpelekea pesa ndio matatizo yao yatapata ufumbuzi,harafu Asubuh wanaenda kazini kiwanda Cha wachina kufsnya kazi na kulipwa mshahara,anayewalipa Wala haendi kanisani,ila kawapa ajira,amekuja bongo akaona fulsa akafungua kiwanda Cha kutengeneza stiki za meno,maana bongo miti si ipo mingi!

akawaajiri kibao walokole ambao wanashinda kwa mwamposa kutafuta miujiza
 
Am not protecting any body,am not denying anything,what am saying for sixty ,60yrs now we can not sit and throw our hand and say,you know what western power are responsible for our misery,there is nothing we can do!!,it's true they did,are doing bad things here in Afrika,then what!!,should we retire and say camon men,nothing we can do,these guys are interfering in our affairs!!!why don't we follow China,Korea,Vietnam,Singapore,
Imagine what is going in Ngorongoro,judicial killings which happened during JPM era,Africsns killing Africsns,imagine the state capture in SA,corruption in Kenya,assassination of Tom mboya,Robert ouko,there was no western power hands,in there,
Our problems,are with in,we Africsns are our own threat!!!after almost a century we can not still be blaming whites for our misery as if there is nothing we can do!!,that is denial!!

Yes, slavery, colonisation and all bad things of biblical proportional were done here,to us,so what!are u saying we can not have our Elon musk, bill gates, dangotes, untill the whites stop meddling in our affairs!!!!,mh mh,
Let me read that book,I have read many
 
.... kwa zaidi ya 80% matatizo ya africa chanzo chake ni leadership. Hayo mengine ni hekaya za abunuasi.
Na kwenye leadership issue kubwa ni tatizo la ubinafsi
 
Hapa umechanganya mambo mawili akili na imani.Hata wachina Wana imani.
 
.... kwa zaidi ya 80% matatizo ya africa chanzo chake ni leadership. Hayo mengine ni hekaya za abunuasi.
Hapo umechanganya madesa abunuasi ni genius...yeye abunuasi ndiye alikuwa mtz wa kwanza kutambua kuwa adui yetu wa africa ni viongozi wetu ...tena kuna hadithi nyingine inaonyesha abunuasi alivyo tusaidia watz kujua kuwa hata ugonjwa wa kipindupindu unatokana na viongozi ...toka jpm alipo chukua nchi kipindupindu kikakoma tz ....itafute ile hadithi ya bunuasi ambayo alienda kwa mfalme na kuomba kibali cha kuua nzi.....kisha isome kwa akili ya jicho la 6 ndipo utakapo tambua kuwa abunuasi ni genius mkubwa sana
 
... shukrani Mkuu kwa ufafanuzi murua kumhusu genius Abunuasi. By the way, kwenye post yangu, the character Abunuasi nimemtumia literally anavyofahamika mtaani. Wewe umeenda kisomi sana.
 
Wee jamaa unaleta tantalila nyingii. Tatizo la kwanza ni hilo la lugha. Mengine ndio yanafuata.
 
Wee jamaa unaleta tantalila nyingii. Tatizo la kwanza ni hilo la lugha. Mengine ndio yanafuata.
Mtapitwa mengi,Kingereza mbona ni kama Kigogo tu,ulipaswa kukijua pia.Tatizo ni kwamba mnakiona kigumu,ndio maana hamkiwezi.Pole.
 
Mtapitwa mengi,Kingereza mbona ni kama Kigogo tu,ulipaswa kukijua pia.Tatizo ni kwamba mnakiona kigumu,ndio maana hamkiwezi.Pole.
Sasa uoni kwamba tatizo la kwanza kwa africa ni hapo kwenye lugha.
 
We have wrapped onto their systems through democracy, religions and education.

No ways outdoors.. we needed reformation on our admistration apparatus apart from theirs. Why Chinese managed to do so??
 
We have wrapped onto their systems through democracy, religions and education... No ways outdoors.. we needed reformation on our admistration apparatus apart from theirs. Why Chinese managed to do so??
China is a model for the New World Order,so it is their brainchild,msidanganyike.
 
Todays problems in the third world were/are partly caused by west and partly by third world people themselves, each one of them.

If i am to estimate percentage-wise i would say 30% of problems in third world were and are still caused by Westeners and 70% by third world itself.

How did/do we cause 70% of problems?
1. Well, we welcomed Vasco Da Gama and his men. If that was not enough we welcomed treacherous Karl Peters and the like... we signed stupid treaties with these people selling our land.

2. We did not develop enough military prowess to fight the invaders, we were the ones responsible to defend ourselves, NO ONE FROM OUTSIDE WAS. We failed and they enslaved us for hundreds of years!

3. In mid-late 20th century we did the biggest mistake in African history- not learning from our past mistakes!!


How do/did westerners cause 30% of our problems?:
They came to Africa trying to get away from their miseries in Europe, finding us in a such primitive environment with unsophisticated fighting force, appalling poverty and rich land, they took advantage of it and that was one step to their today’s success story that we are truly and deeply envious of.

Again in the mid 20th C after flag independence we repeated the same mistakes, and they did what they always do best, taking advantage of the third world mistakes.

In the 21st C Here we are, confused, some of us knows exactly what’s happening but too cowards to do anything meaningful we end up writing and complaining online.
Many of us not knowing what’s going on keep living our lives believing that this is our fate, its what God planned for us.

We got ourselves in this by allowing them to do what they did to us, WE ARE THE ONES TO GET OURSELVES OUT OF THIS!

And it is possible, it is very possible to be truly free again and developed. It is possible to have our own competent Engeneers, it is possible to have our own nuclear, it is possible to have our own theories, it is possible to live hunger-free, it is possible for Africa to PROSPER!
It is possible.
 
Kila epoch ahead tutakuwa na hadithi hizi hizi za kutoa lawama kwa west na Us ila ukweli ulio wazi ni kwamba sisi waafrika wenyewe ndo chanzo hili hata B.W.Botha alisha sema "mwafrika hawezi kujitawala". Ukitaka kuangalia hili angalia matendo ya viongozi wetu mikataba ya hovyo ya madini walio ingia na mabeberu,Rushwa mifano ilo dhahiri kabisa Escrow, Richmond,EPA nk

Angalia tatizo lingine Tanzania tuna jenga reli ya kisasa kabisa ya SGR cha kushangazaa vichwa used vya treni ndo vinakuja kutumika katika hili pia tuwalaumu wazungu? Nilikuwa nampinga JPM kwa baadhi ya vitu lakini hili asinge kubali ujinga huu wa wazi wazi.

Matumizi yasiyo ya lazima kwa pesa ya umma ni ajabu waziri kuruka na chopa kwa nchi masikini Kama yetu lengo kuhamasisha uwekaji wa anuani za makazi [emoji1787].

Tumebarikiwa natural resources nyingi mfano gesi ya asili Cha kushangaa angalia bei ya gesi kwa wananchi ni kichekesho,kwenye madini ndo kabisa Kuna mambo ya ajabu ya karne.

Tunayo ardhi yenye rutuba angalia sera ya kilimo Kama "kilimo kwanza" iliishia wapi?

Tulikuwa na viwanda vingi Sana mfano Tanganyika parks,Urafiki, General tyre,Mwatex kwa kuvitaja vichache viko wapi? Au mabeberu walihujumu, Mwisho tuna agiza hata vijiti vya kuchokonolea meno china.

Taifa kuendeshwa kwa matamko na utashi wa Mtu binafsi awamu ya kwanza "Ujamaa na kujitegemea",awamu ya pili "Ruksa",awamu ya tatu "ukweli na uwazi",awamu ya nne " ari mpya nguvu mpya na kasi ya ajabu + maisha bora kwa kila mtanzania" awamu ya tano "Hapa kazi tu + Tanzania ya viwanda" awamu ya sita "kazi iendele"

Watu Kama wakina water Rodney waliandika vitabu mfano "How European undermine Africa" lengo lilikuwa kwa waafrika kujifanza ili kujikomboa sio kutumia kama justification ya kutoendelea kwa waafrika maana historia iko wazi kabisa sio mataifa ya Afrika ndo yametawaiwa pekee katika dunia hii.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…