Mkuu, kwanza title yake niliona kichekesho sana - nikajuhiliza hivi hawa wenzetu wanajua kinacho endelea kwa majirani zao au wanafanya makosa kama yaliyo wahi kufanyika huko Amerika kwa muda mrefu, oh yes Wamerikani walikuwa na majivuno sana wanafikili dunia ni Amerika, wanakuja kushtuka wanakuta Uchina imekaribia kuwapiku kiuchumi, na actually Wachina wamewahi kuwapa Wamerikani msaada wa fedha mabenki yao yalipo yumba kiuchumi, sikusikia Wamerikani wanazungumzia tena mambo ya evil of COMMUNISM wako kimya! Wamerikani wakajikuta wanakumbuka kujifunika kshuka asubuhi! Ni vizuri Kenya kuzungumzia Vision 2030 ya nchi yao; lakini wasije wakabweteka wakafikili wenzao wamelala na kutoa impression as if nchi nyingine East Africa hazina vision yoyote.
Nilikuwa curious kujua ni nani ka andika makala hii - nakakuta jina la ISAIAH ESIPISU, mimi sijuhi huyu ni raia wa nchi gani unless makala yenyewe ilikuwa inakusudiwa kusomwa na Raia wa huko Kenya, lakini at least angefanya ka-utafiti kidogo kujua nchi nyingine katika Africa Mashariki wanafanya nini.
Hivi Kenya kuzalisha umeme wa 1.6GW kutokana na maporomoko ya maji (Hydro), 400MW kutokana na geothermal na 300MW kutokana na upepo, tukijumlisha vyanzo vyote hivyo Kenya iweza kuzalisha umeme wa capacity ya kufikia 2.3GW basi; hivi kweli capacity ya namna hiyo ndiyo inaweza kubadilisha Kenya kuwa "an economic powerhouse in the region."? Wakati Tanzania ina uwezo wa ku-generate umeme wa capacity close to a TERA WATTS.
Namshauri aliye andika makala hii kuhusu Kenya, ajaribu kufanya ka-utafiti kidogo kuhusu Tanzania na Projects za kuzalisha UMEME, kwanza anaweza kuanzia Steglier Gorge Hydro Project akimalizika itakuwa unazalisha umeme wa GW ngapi, pili Projects za kuzalisha umeme kwa kutumia upepo kule Makambako na Singida, Umeme unaotokana na Gas turbines - kumbuka Tanzania inaongoza kwa kuwa na natural gas nyingi sana na mitambo hii itakuwa nyingi sana, umeme wa kutokana na geothermal hatujauwekea maanani, lakini vyanzo vya nishati hiyo vipo vingi tu Tanzania, tukijumlisha Genarating capacity ya vyanzo vyote hivyo, Kenya doesn't even come a distant SECOND, kwa hiyo mambo mengine muache kuwa mnaweka CHUMVI mno.