Dzonga - Afrique
JF-Expert Member
- Jan 25, 2025
- 569
- 1,493
Sasa wewe morocco wapo 14km from europe unakosaje kupata akili za kizungu.Egypt - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF
South Africa - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF
Nigeria - Timu ya Taifa nzuri, clubs hola CAF.
....and the list goes on.
Morocco - Timu ya Taifa bora, vilabu bora CAF.
NB: Tunapozungumzia timu za Taifa na ubora wao tunamaanisha world cup performance.
Klabu ipi unaizungumzia? Wameingiza timu nne kwenye mashindano ya CAF msimu huu na kwasasa imebakia Far Rabat na Berkane lakini Far Rabat jana kapokea kipigo cha mbwa mwizi cha goli nne. Hivyo hana chake tena hapoEgypt - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF
South Africa - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF
Nigeria - Timu ya Taifa nzuri, clubs hola CAF.
....and the list goes on.
Morocco - Timu ya Taifa bora, vilabu bora CAF.
NB: Tunapozungumzia timu za Taifa na ubora wao tunamaanisha world cup performance.
Uko sahihi kabisa. Ni kosa kubwa hiki kinachofanyika. Nchi zinazojitambua hauwezi kuona wanafanya kitu kama hiki. Hakuna anayejua hata klabu moja ya Senegal ila timu zao zote za taifa kuanzia za chipukizi zinaongoza kwa mataji Africa na duniani na kwenye ranking ni wa pili Afrika. Morocco ndiyo wanapiga kote kote vilabu na taifa ila sidhani kama serikali imeweka mkono wake moja kwa moja kwenye vilabu zaidi ya kuweka sera na mazingira wezeshi.
Pia nadhani kuna wachezaji wakikumbushwa wanapigania taifa lingine na siyo club wanayochezea wanaweza kukwazika. Ndiyo maana unaona baadhi ya wakongo wanapepea bendera zao uwanjani wakati wanachezea vilabu vya nje.
Kingine walichofanya Morocco ni kuachana na siasa za ndani za mpira zinazoenda kuathiri hata timu ya taifa kwa kutegemea zaidi wachezaji wa nje. Kama ambavyo sisi tunahangaika na siasa zetu za Simba na Yanga, hata wao walikuwa nazo za Wydad/Raja.Swali na hoja nzuri ila kuwatoa moja kwa moja South Africa na Egypt kama nchi ambazo walau zimeweza kubalance maeneo yote mawili ni kukosea.
Hili niliwahi kuliongelea hapa:
Kwenye mjadala huu unaweza kugawa mataifa ya Africa katika makundi manne:
1. Timu ya taifa bora, vilabu hovyo - Nigeria, Cameroon, Senegal, Ghana
2. Timu ya taifa hovyo, vilabu bora - Tanzania
3. Timu ya taifa bora, vilabu bora - Morocco, Egypt, South Africa
4. Nchi zinazojitahidi kubalance - Algeria, Angola, Ivory Coast, DRC
Nchi zenye timu bora za taifa ila vilabu vibovu zinaathirika na uwekezaji mdogo kwenye ligi ya ndani na historia ya muda mrefu ya kuuza vipaji nje kwa hiyo wachezaji wanauzwa nje wakiwa bado wadogo sana.
Ili uweze kufaidika katika maeneo yote mawili kama Morocco inabidi uwe na uwekezaji wa kutosha katika ligi ya ndani na pia uwe na mfumo nzuri wa kuzalisha na kuuza vipaji nje na/au kuwa na diaspora wengi watakaozaa wachezaji wenye vinasaba vya nchi yako.
Nchi kama Tanzania tunajitahidi kwenye uwekezaji wa ligi ya ndani unaotoa timu kama Simba na Yanga zenye ushindani ila tumechelewa kuwa na mfumo wa kuzalisha wachezaji na kuwauza nje wakiwa wadogo sana na pia diaspora wetu hawajaona faida ya kuzalisha na kukuza vijana wenye vipaji vya soka ambao wangekuja kutusaidia (tatizo la uraia pacha linaweza kuchangia).
Safi sana mkuu. I thought the same.Sasa wewe morocco wapo 14km from europe unakosaje kupata akili za kizungu.
Timu za Morocco zimebeba CAF CL jumla mara 7Klabu ipunaizungumzia? Wameingiza timu nne kwenye mashindano ya CAF msimu huu na kwasasa imebakia Far Rabat na Berkane lakini Far Rabat jana kapokea kipigo cha mbwa mwizi cha goli nne. Hivyo hana chake tena hapo
Egyptian clubs hold the record for the most titles (18), followed by Morocco with seven (7)Klabu ipi unaizungumzia? Wameingiza timu nne kwenye mashindano ya CAF msimu huu na kwasasa imebakia Far Rabat na Berkane lakini Far Rabat jana kapokea kipigo cha mbwa mwizi cha goli nne. Hivyo hana chake tena hapo
Mkuu, hola maana yake "hakuna kitu kabisa"Tanzania :Timu ya taifa Hola ,clubs Hola,
Mkuu hola ina maana gani?
Good. Umefafanua vema sana mkuuSwali na hoja nzuri ila kuwatoa moja kwa moja South Africa na Egypt kama nchi ambazo walau zimeweza kubalance maeneo yote mawili ni kukosea.
Hili niliwahi kuliongelea hapa:
Kwenye mjadala huu unaweza kugawa mataifa ya Africa katika makundi manne:
1. Timu ya taifa bora, vilabu hovyo - Nigeria, Cameroon, Senegal, Ghana
2. Timu ya taifa hovyo, vilabu bora - Tanzania
3. Timu ya taifa bora, vilabu bora - Morocco, Egypt, South Africa
4. Nchi zinazojitahidi kubalance - Algeria, Angola, Ivory Coast, DRC
Nchi zenye timu bora za taifa ila vilabu vibovu zinaathirika na uwekezaji mdogo kwenye ligi ya ndani na historia ya muda mrefu ya kuuza vipaji nje kwa hiyo wachezaji wanauzwa nje wakiwa bado wadogo sana.
Ili uweze kufaidika katika maeneo yote mawili kama Morocco inabidi uwe na uwekezaji wa kutosha katika ligi ya ndani na pia uwe na mfumo nzuri wa kuzalisha na kuuza vipaji nje na/au kuwa na diaspora wengi watakaozaa wachezaji wenye vinasaba vya nchi yako.
Nchi kama Tanzania tunajitahidi kwenye uwekezaji wa ligi ya ndani unaotoa timu kama Simba na Yanga zenye ushindani ila tumechelewa kuwa na mfumo wa kuzalisha wachezaji na kuwauza nje wakiwa wadogo sana na pia diaspora wetu hawajaona faida ya kuzalisha na kukuza vijana wenye vipaji vya soka ambao wangekuja kutusaidia (tatizo la uraia pacha linaweza kuchangia).
Sijui uzi umelenga current performance au history? Kama ni kwa hivi sasa basi vilabu vya Morocco vinapoteza ubora wake.Timu za Morocco zimebeba CAF CL jumla mara 7
SawaEgypt - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF
South Africa - Timu ya Taifa Hola, clubs nzuri CAF
Nigeria - Timu ya Taifa nzuri, clubs hola CAF.
....and the list goes on.
Morocco - Timu ya Taifa bora, vilabu bora CAF.
NB: Tunapozungumzia timu za Taifa na ubora wao tunamaanisha world cup performance.
Yaani kutoka Morocco kwenda Ulaya ni sawa na Mimi hapa mwananyamala Kwa kopa kwenda posta , yaan pua na mdomo kabisaSasa wewe morocco wapo 14km from europe unakosaje kupata akili za kizungu.