mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
[emoji1][emoji1]Kuweka kipaumbele kwa taifa na siyo wageni wale tozo yangu, sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1]Kuweka kipaumbele kwa taifa na siyo wageni wale tozo yangu, sawa?
Uko sahihi kabisa. Ni kosa kubwa hiki kinachofanyika. Nchi zinazojitambua hauwezi kuona wanafanya kitu kama hiki. Hakuna anayejua hata klabu moja ya Senegal ila timu zao zote za taifa kuanzia za chipukizi zinaongoza kwa mataji Africa na duniani na kwenye ranking ni wa pili Afrika. Morocco ndiyo wanapiga kote kote vilabu na taifa ila sidhani kama serikali imeweka mkono wake moja kwa moja kwenye vilabu zaidi ya kuweka sera na mazingira wezeshi.Ukimsikiliza mtangazaji anapokuwa anaelezea wachezaji utasikia mara kenyan international, mara congolese international nk, yaani klabu ya kitanzania imejaa wakongoman
Kutokana na vilabu kusheheni wachezaji wa kigeni, nashauri motisha ya rais itolewe kwa timu zetu za taifa zikiwemo ile ya mabinti iliyofanya vizuri sana kwenye mashindano ya soka la kimataifa na wanamichezo wanaoenda kuwakilisha nchi kwenye mashindano ya olympiki ili wajitahidi kupata medali.
Motisha kwenye vilabu binafsi waachiwe wafadhili wa hizo timu.
Ni hayo tu kwa leo.
Ujinga mwingine bana.... Mbona hukusema na azikuonekana Kama pesa zimapotea pale Simba anazichukua?, Hamkushangilia Simba aliposhinda gori 7×5m!. Acheni upuuzi kinachopiganiwa ni kwa manufa ya Taifa na sio wachezaji pekee Wala timu!.Uko sahihi kabisa. Ni kosa kubwa hiki kinachofanyika. Nchi zinazojitambua hauwezi kuona wanafanya kitu kama hiki. Hakuna anayejua hata klabu moja ya Senegal ila timu zao zote za taifa kuanzia za chipukizi zinaongoza kwa mataji Africa na duniani na kwenye ranking ni wa pili Afrika. Morocco ndiyo wanapiga kote kote vilabu na taifa ila sidhani kama serikali imeweka mkono wake moja kwa moja kwenye vilabu zaidi ya kuweka sera na mazingira wezeshi.
Pia nadhani kuna wachezaji wakikumbushwa wanapigania taifa lingine na siyo club wanayochezea wanaweza kukwazika. Ndiyo maana unaona baadhi ya wakongo wanapepea bendera zao uwanjani wakati wanachezea vilabu vya nje.
Fuatilia post zangu ujiridhishe kweli sikusema. Hata tukiongelea kimbinu, kutoa motisha ya magoli siyo sahihi. Ni kwamba tu watu wanaogopa Mamlaka ya Rais kwa hiyo wanashindwa kukosoa vitu kama hivi wazi wazi.Ujinga mwingine bana.... Mbona hukusema na azikuonekana Kama pesa zimapotea pale Simba anazichukua?, Hamkushangilia Simba aliposhinda gori 7×5m!. Acheni upuuzi kinachopiganiwa ni kwa manufa ya Taifa na sio wachezaji pekee Wala timu!.
Hata Simba mwaka 1993 alipocheza fainali alipewa ndege na pesa au mmesahau ndugu zangu 🤣🤣🤣
Ndio katoa basi hamia Kenya🤣Fuatilia post zangu ujiridhishe kweli sikusema. Hata tukiongelea kimbinu, kutoa motisha ya magoli siyo sahihi. Ni kwamba tu watu wanaogopa Mamlaka ya Rais kwa hiyo wanashindwa kukosoa vitu kama hivi wazi wazi.
Tukikupigia hesabu tunaweza kukuta unachotozwa ni "kiduchu" kuliko unachotumia na wewe hapo ukawa unakula tozo za watu wengine na inawezekana ni hao hao wageni usiowapenda.Kuweka kipaumbele kwa taifa na siyo wageni wale tozo yangu, sawa?
Team ya taifa waliambiwa IPO 500 ml wakifuzu dk za mwisho waganda wakawekaTunawekeza kwenye kuandaa timu bora za taifa ili ziletee nchi heshima ikiwemo michezo kama riadha kama ilivyo kule kenya.
Kama vipi tuweke sheria ya idadi ya wageni wanaoruhusiwa kusajiliwa na vilabu vyetu ili tujenge timu imara ya taifa inayotokana na wachezaji wa vilabu vyetu vya ndani, ukichukulia kwamba hatuna wachezaji wengi wanaosakata kabumbu huko majuu kama walivyo nchi kama Senegal, Nigeria, Ghana nk.Uko sahihi kabisa. Ni kosa kubwa hiki kinachofanyika. Nchi zinazojitambua hauwezi kuona wanafanya kitu kama hiki. Hakuna anayejua hata klabu moja ya Senegal ila timu zao zote za taifa kuanzia za chipukizi zinaongoza kwa mataji Africa na duniani na kwenye ranking ni wa pili Afrika. Morocco ndiyo wanapiga kote kote vilabu na taifa ila sidhani kama serikali imeweka mkono wake moja kwa moja kwenye vilabu zaidi ya kuweka sera na mazingira wezeshi.
Pia nadhani kuna wachezaji wakikumbushwa wanapigania taifa lingine na siyo club wanayochezea wanaweza kukwazika. Ndiyo maana unaona baadhi ya wakongo wanapepea bendera zao uwanjani wakati wanachezea vilabu vya nje.
Hiyo sheria mbona ipo. Zamani iliwekwa idadi ndogo halafu idadi ikaongezwa. Sheria ingeweka limit ya idadi ya wachezaji wa kigeni wanaoweza kucheza katika mechi moja kwa pamoja badala ya kusema tu idadi ya wanaoweza kusajiliwa.Kama vipi tuweke sheria ya idadi ya wageni wanaoruhusiwa kusajiliwa na vilabu vyetu ili tujenge timu imara ya taifa inayotokana na wachezaji wa vilabu vyetu vya ndani, ukichukulia kwamba hatuna wachezaji wengi wanaosakata kabumbu huko majuu kama walivyo nchi kama Senegal, Nigeria, Ghana nk.
Sahihi kabisa, inakuwa rahisi hata kutengeneza combination nzuri ya timu ya taifa.......chukulia mfano wa timu ya taifa ya spain wamejaa wachezaji wa Real Madrid na Barcelona na vile vilabu vingine vya spain.Hiyo sheria mbona ipo. Zamani iliwekwa idadi ndogo halafu idadi ikaongezwa. Sheria ingeweka limit ya idadi ya wachezaji wa kigeni wanaoweza kucheza katika mechi moja kwa pamoja badala ya kusema tu idadi ya wanaoweza kusajiliwa.
Hivi Kuna nchi Haina timu ya taiga? au Mimi ndiye kichwa maji?Una hoja lakini pale ambapo hakuna timu ya taifa unafanyaje
Tanzania hakuna timu ya Taifa. Kile ni kikundi cha michezo.Hivi Kuna nchi Haina timu ya taiga? au Mimi ndiye kichwa maji?
Sahihi mkuu, Urais ni taasisi kwa maana ya nchi .Kutokana na vilabu kusheheni wachezaji wa kigeni, nashauri motisha ya rais itolewe kwa timu zetu za taifa zikiwemo ile ya mabinti iliyofanya vizuri sana kwenye mashindano ya soka la kimataifa na wanamichezo wanaoenda kuwakilisha nchi kwenye mashindano ya olympiki ili wajitahidi kupata medali.
Motisha kwenye vilabu binafsi waachiwe wafadhili wa hizo timu.
Ni hayo tu kwa leo.
Inasikitisha hasa ukisikia taa za uwanjani zimezima tena kwa dakika takriban 40 halafu mamilioni yanatoka kwa kufunga magoli tu hata kama timu haikupata ushindi kwenye mechi hiyo.Kiongozi mwenye maono makubwa na taifa lake, mwenye uchungu na hali za wananchi wake hawezi hangaika na issues za kijinga kama hizo, ila tu ni kwa hao wanaotafuta cheap popularity