Africa List: Internet Usage By Country 2019...

Africa List: Internet Usage By Country 2019...

In Case you don't know

What's the need for that cheap data if there no users? A country of 60m people having more than half of its population not able to access internet services in the 21st century is a shame of the highest degree.....The cheap data is just to try to woo more internet users....
 
Kwani Kenya asilimia ngapi wanatumia internet.
 
😂😂😂😂 Having statistics and interpretation of them is another thing

Demographics za Kenya population zinasema watoto Kenya chini ya miaka 15 ni zaidi ya 42% ya Wakenya ambao of course wengi wapo mashambani pasipo na umeme achilia mbali smartphones and laptops or whatever

Lakini they've cooked rotten data kwamba Internet users ni million 48+ 😂😂😛😛 wakati kati ya Wakenya million 45 zaidi ya Wakenya million 20 ni watoto chini ya miaka 15 😂😂😜😜 cooked rotten data is creepy, how Internet users surpassed the whole country population?
 
What's the need for that cheap data if there no users? A country of 60m people having more than half of its population not able to access internet services in the 21st century is a shame of the highest degree.....The cheap data is just to try to woo more internet users....
Almost Nusu ya wa Tanzania ni watoto they don't own Internet devices (most of them) sisi hatupiki data kama nyinyi mnavyofanya

Kuna methodologies nyingi sana za kujua nchi gani ina Internet users wengi kati ya Tanzania na Kenya.

Do you want to know them? If you are ready let me know right away.
 
Duh! Hiyo tofauti ni kubwa sana, et wao penetration % of population ni 37% wakati sisi tupo 83%
Wachache wanaopata buku saba za Lumumba hupiga makelele huku utadhani nchi yote ipo mitandaoni
Kenyans mmejaa sana Twitter na pornographic websites.

Sisi waTz tumejaa IG na Facebook yani ikianzishwa battle ya mitandaoni hamtuwezi. You can't believe superstars wa Tz siku hizi wanatokea Instagram
 
Kenya you have to know the Internet in Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Malawi, Zambia of course even in some places of Kenya is from Tanzania, Tanzania supplies and regulates Internet access to the whole region.
 
Kenyans mmejaa sana Twitter na pornographic websites.

Sisi waTz tumejaa IG na Facebook yani ikianzishwa battle ya mitandaoni hamtuwezi. You can't believe superstars wa Tz siku hizi wanatokea Instagram

Hivi Watanzania mpo wapi kwengine nje ya JF, hata hata hii JF Wakenya wachache wasiozidi kumi wanawaliza kila siku, sasa hiyo battle mnataka na Wakenya mtaiweza kivipi.
 
4 million kenyans are facing hunger but they google everyday on the internet😂😂😂
Takwimu zingine unacheka tu hadi raha

And 20 million Danganyikans are cannibals the remainder show tendencies. Let me ask what became of you looking for Albinos
 
Almost Nusu ya wa Tanzania ni watoto they don't own Internet devices (most of them) sisi hatupiki data kama nyinyi mnavyofanya

Kuna methodologies nyingi sana za kujua nchi gani ina Internet users wengi kati ya Tanzania na Kenya.

Do you want to know them? If you are ready let me know right away.
Una machungu Sana ni kama hiyo data ni wakenya wametengeneza.....Ukiwa na maswali zaidi, enda kawaulize walioleta hizo takwimu.....Wewe kwako,unless it favours Tanzania, it's not authentic.....The same way you did with WB report on 4% economy growth......It's called living in denial...
 
Back
Top Bottom