Africa List: Internet Usage By Country 2019...

Africa List: Internet Usage By Country 2019...

Kenya you have to know the Internet in Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Malawi, Zambia of course even in some places of Kenya is from Tanzania, Tanzania supplies and regulates Internet access to the whole region.
🤣🤣🤣🤣🤣 Supplies and regulates.?????..How can you supply to your neighbours yet you have not supplied to yourself first??.....
 
Duh! Hiyo tofauti ni kubwa sana, et wao penetration % of population ni 37% wakati sisi tupo 83%
Wachache wanaopata buku saba za Lumumba hupiga makelele huku utadhani nchi yote ipo mitandaoni
Let them come over utakipata, you will start arguing over stupid things like "what is usage, penetration, percentage?", until you feel stupid, its like trying to teach a 5 year old kid calculus.Most Bongolalas have turned into trolls on Kenyan issues, esp on a +ve Kenyan thing.
 
😂😂😂😂 Having statistics and interpretation of them is another thing

Demographics za Kenya population zinasema watoto Kenya chini ya miaka 15 ni zaidi ya 42% ya Wakenya ambao of course wengi wapo mashambani pasipo na umeme achilia mbali smartphones and laptops or whatever

Lakini they've cooked rotten data kwamba Internet users ni million 48+ 😂😂😛😛 wakati kati ya Wakenya million 45 zaidi ya Wakenya million 20 ni watoto chini ya miaka 15 😂😂😜😜 cooked rotten data is creepy, how Internet users surpassed the whole country population?
Mashinani kwetu kuna Umeme and very good internet connection please. And its a remote village in the former Eastern Province.
 
Almost Nusu ya wa Tanzania ni watoto they don't own Internet devices (most of them) sisi hatupiki data kama nyinyi mnavyofanya

Kuna methodologies nyingi sana za kujua nchi gani ina Internet users wengi kati ya Tanzania na Kenya.

Do you want to know them? If you are ready let me know right away.
haha then Tz is really behind.,,in kenya most kids in primary schools have smartphones
 
Danganyikas are all over asking how kids in Kenya are part of the stats , my cousins at age 12 - 17 yrs ,have smartphones and the parents buy them data bundles to surf and find educational materials.

But it must be painful, 83% na 37% .. kawaida ya LDC na nchi zingine.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Supplies and regulates.?????..How can you supply to your neighbours yet you have not supplied to yourself first??.....
Inaitwa fantasy kaka
 
Mashinani kwetu kuna Umeme and very good internet connection please. And its a remote village in the former Eastern Province.
Mna umeme mtoe wapi? Chakula tu hakuna itakua umeme?

Nchi pekee yenye mtandao mkubwa wa umeme ukanda huu ni Tanzania and soon gonna knock the whole continent in rural electric connectivity championship
 
Mna umeme mtoe wapi? Chakula tu hakuna itakua umeme?

Nchi pekee yenye mtandao mkubwa wa umeme ukanda huu ni Tanzania and soon gonna knock the whole continent in rural electricity connectivity championship
ha ha ha, rural electrification in Kenya labda TZ wafikie 2026.
 
Danganyikas are all over asking how kids in Kenya are part of the stats , my cousins at age 12 - 17 yrs ,have smartphones and the parents buy them data bundles to surf and find educational materials.

But it must be painful, 83% na 37% .. kawaida ya LDC na nchi zingine.
My 9 nine year old nephew alikuwa ananishow anataka nimfungulie account ya Facebook kama ya mamake ndio awe akipiga picha anaeka kama mamake........
 
Duh! Hiyo tofauti ni kubwa sana, et wao penetration % of population ni 37% wakati sisi tupo 83%
Wachache wanaopata buku saba za Lumumba hupiga makelele huku utadhani nchi yote ipo mitandaoni
Duh, kumbe hili suala la buku 7 limeishafika mpaka 'nchi za nje' [emoji3]
 
yeah sure here seeing them surfing things like in silicon Valley cafes

Bring something new.....This one we have been used to it.....This is the problem with LDC....Living in the past.......!!!
 
yeah sure here seeing them surfing things like in silicon Valley cafes

Watakwambia huyu mama amelala sababu ya kuchoswa na kutazama youtube😁😁😁😆😆
HUNPIC.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Having statistics and interpretation of them is another thing

Demographics za Kenya population zinasema watoto Kenya chini ya miaka 15 ni zaidi ya 42% ya Wakenya ambao of course wengi wapo mashambani pasipo na umeme achilia mbali smartphones and laptops or whatever

Lakini they've cooked rotten data kwamba Internet users ni million 48+ [emoji23][emoji23][emoji14][emoji14] wakati kati ya Wakenya million 45 zaidi ya Wakenya million 20 ni watoto chini ya miaka 15 [emoji23][emoji23][emoji12][emoji12] cooked rotten data is creepy, how Internet users surpassed the whole country population?
[emoji3][emoji3] sioni akirudi
 
Watakwambia huyu mama amelala sababu ya kuchoswa na kutazama youtube😁😁😁😆😆View attachment 1117746
Hii tulishaona kitambo....when cornered in all discussions,you run to your phone gallery to look for this images, which are irrelevant now....sorry mate, bring something new🤣🤣🤣🤣
 
Sasa nani mwenye majungu wewe unaetafuta majungu ao sisi tunaofata mambo yetu. Na kingine izo statistics zako ni za uongo.
Wana majungu sana hawa, haswa towards Tz, and they are the first to accuse us. Na ni hulka ya kibinadam, utaona hata watoto, wale walafi ndio wananotice sana wenzao wanachokula and easy to accuse others, whilst lenyewe ndio worse.
 
Back
Top Bottom