Africa medics warn of India-like Covid surge

Africa medics warn of India-like Covid surge

Mwanamkiwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
2,023
Reaction score
2,402
Sijaona bado maagizo kuhusu sharti ya kuvaa barakoa, hasa kwenye mabasi, wakati wa kuingia katika majengo ya serikali n.k. Tanzania si serious, ila virusi ni serious! Soma hiyo (Citizen ya leo):

'Act now': Africa medics warn of India-like Covid surge​

  • Some countries, including the Democratic Republic of Congo, have had to return jabs to the Covax facility for redistribution after failing to use them with expiry fast approaching. Jabs have also expired in South Sudan and Malawi.
Africa risks being overrun by coronavirus infections if urgent measures are not taken to avert a similar disaster to the "very concerning" crisis in India, the continent's disease control body said Thursday.
India, a vast subcontinent with a population similar to that of Africa, is fighting an explosion of infections, with jarring scenes of citizens desperately seeking oxygen and medicines.

This has prompted fears that as new variants spread, Africa's fragile healthcare systems could crash.

"We are watching in total disbelief what is happening in India. The situation in India is very, very concerning to us as a continent. It speaks to the fact that we as a continent must be very prepared," Dr John Nkengasong, director of the Africa Centres for Disease Control and Prevention (Africa CDC), told a press conference.

Despite early predictions of disaster on the continent, Africa has so far been spared compared to other regions, counting 3.1 percent of global virus cases and about four percent of global deaths, according to the Africa CDC.

India, like many African nations, took strict early measures to combat the virus and it appeared the country had been spared the worst because of its young population.

However a new variant and mass gatherings have led to a surge in infections that has overwhelmed Indian hospitals, crematoriums and graveyards.
"It is a wakeup call. We cannot be indifferent to what is happening in India. We must act now, decisively and collectively," said Nkengasong. India on Thursday reported 3,645 deaths and almost 380,000 cases in the last 24 hours. Africa CDC urged a return to the basics of heeding public health guidelines to keep infections at bay by avoiding mass gatherings and wearing face masks."Masks work. They are the only 'vaccines' we have," said Nkengasong.
 
Jinsi wanavyochoma maiti nyingi:
1619804438677.png

Ina maana ndio tunaenda katika zile nyakati walizotutabiria kuwa maiti zitaokotwa barabarani??
 
Angalau watu wengi wangekubali KUVAA BARAKOA ingesaidia.

Tatizo ni kuwa kuvaa hizo kitu ni lazima kuwe na shuruti... Na wa kushurutisha HAKUNA 🙄
 
Tunasubiri kamati ya corona ije kutuambia kama tuvae barakoa au vp, tuvute subira.
 
Magufuli hayupo ila mambo yapo vilevile je, nani wa kulaumiwa?
 
Wanachukua viungo vya wagonjwa baadae wanasingizia Corona.
Kuna video nimeona majuzi wanaopelekwa hospital kama wagonjwa wa korona wananyofolewa viungo na kuuawa. Maiti inapigwa marufuku kuzikwa na ndugu. Case closed. Wananchi wakashtukia. Ikawa noma
 
Kuna mtu ana uthibitisho usio na shaka kuwa hii issue ya India sio chai. Achana na hizi media reports, zinaweza kununuliwa. Nina maana mtu ambaye angalau kaongea na shuhuda? Maana isijekuwa ni mtego wa kututisha ili tujiingize kwenye chanjo.
 
Ina maana ndio tunaenda katika zile nyakati walizotutabiria kuwa maiti zitaokotwa barabarani??
Acha uoga. Hakuna maiti zitaokotwa barabarani. Jenga afya yako. Mungu alikuumba na kinga nzuri zinazoweza kupambana na vitusi vya korona na kuvishinda kwa efficiency ya 99.9%

Hizo chanjo hazifiki hata hapo kwa efficiency. Acha kuangalia ma media na kusoma magazeti. Yatakutisha bure. Hofu inashusha kinga ya mwili. Kula vyakula bora, kunywa maji ya kutosha fanya mazoezi. Chapa kazi!
 
Angalau watu wengi wangekubali KUVAA BARAKOA ingesaidia.

Tatizo ni kuwa kuvaa hizo kitu ni lazima kuwe na shuruti... Na wa kushurutisha HAKUNA 🙄
Acha ujinga wewe. Barakoa nani kakuambia zinazuia virusi? Halafu unajua kuwa barakoa zina chembe chembe zinazoongea hatari ya ugumba na kupungua size ya uume ya watoto wanaozaliwa?

Au unameza tu unachosikia kwenye media bila kilufanya utafiti?
 
Nimeipata hii imerekodiwa na mtu India huko

Kuna video nimeona majuzi wanaopelekwa hospital kama wagonjwa wa korona wananyofolewa viungo na kuuawa. Maiti inapigwa marufuku kuzikwa na ndugu. Case closed. Wananchi wakashtukia. Ikawa noma
Me pia nimeona hiyo video. Waasia wengi illegal organ harvesting kwao ni mambo ya kawaida tu. China na India wana hizo case sana.
 
Me pia nimeona hiyo video. Waasia wengi illegal organ harvesting kwao ni mambo ya kawaida tu. China na India wana hizo case sana.

Organ smuggling ni tatizo sana. Hata wamarekani ndiyo baba yao. Sehemu yoyote wanakopigana vita huwa ndiyo kazi zao hizo.
 
Organ smuggling ni tatizo sana. Hata wamarekani ndiyo baba yao. Sehemu yoyote wanakopigana vita huwa ndiyo kazi zao hizo.
Ni kweli. Nakumbuka zamani kidogo kuna mtu aliwahi kuniambia wagonjwa wengi wanaoenda India huwa wananyofolewa viungo na ndomaana wakirudi huwa hawakai muda mrefu wanafariki, kwa wakati ule nilipuuza ila kadiri siku zinavyoenda nazidi kuamini.
 
Duu, that's serious.
 
Back
Top Bottom