Africa should neither shift to the new colonial masters nor stay with the old ones. (A Russian move case study)

Africa should neither shift to the new colonial masters nor stay with the old ones. (A Russian move case study)

Bondpost

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
7,019
Reaction score
10,455
By Bondpost,

Africa imekuwa na watu wenye fikra tegemezi miaka yote hata hii move ya Waafrika kushabikia China, Russia na North Korea ni sehemu ya muendelezo wa fikra temegemzi.

Africans wamefikia sehemu hawawezi kuwa na fikra zao huru na wakajiongoza wenyewe kisiasa, kijamii, kiteknolojia, nk, despite ya advantage ya population kubwa tuliyonayo pamoja na maternity health kubwa tuliyonayo Waafrika.

KWA NINI HATUHITAJI TUKIMBILIE KWA MRUSI?

Mrusi hana tofauti na Mzungu (including China and the like) yeyote yule. Warusi nao walikuja Africa kuchuma kama walivyokuja Wazungu wengine tu, tofauti yao ni kwamba kwao walichelewa kuwa na maendeleo yaliyowalazimu kuja Africa lakini kwa kipindi hicho bado walitawala wenzao huko Ulaya.

Hivyo yawezekana ni kweli tunaona hawakufanya uharamia wa biashara za utumwa nk, kwa bara laAafrica lakini haiwafanyi wao kuwa watu wema kwetu. Kama waliweza kuwatawala Wazungu wenzao sisi ni nani kwao?

In short, Warusi walianza kuinuka zaidi wakati ilipoanza imperialism (maana imerialism includes also socialism) wao ndio wakatumia dogma zao kuja kuchuma Africa kwa kusambaza socialism. West Europe and East Europe ni ndugu wawili walioamua kutawala dunia kwa kutumia difference zao na wanaelewa wanachokifanya kwa kuwa lazima ziwepo fikra mbadala ili kusiwe na fikra huru.

So wanafikiria kwa niaba yetu hivyo hata wao sio kwamba wana nia njema na Africa. Na ndio maana East kinara akawa Russia na West kinara akapewa United States of America.

Labda ujiulize kwanini Urusi wanataka baadhi ya nchi especially Africa tuige ujamaa wao? Kwanini wapo busy kufanya biashara na africa tu? Kwanini wanatusamehe madeni ambayo walitukopesha tena kwa riba? Kumbe nao walitukopesha kwa riba hata kama ni ndogo? Je, uharamia wa china ndio siasa sahihi kwa africa? Je, kwanini dunia yote inaipigania kutawala Africa kimawazo, kisiasa, kijamii? Je, urusi wanatafuta nini africa? Ongeza na maswali yako.

MTAZAMO WANGU KUHUSU KUHAMA WAKOLONI

Binafsi nadhani kinachoendelea ni ugawaji mpya (re-division) wa Africa na dunia kwa walewale super powers. Wao wanatafuta raw materials na masoko ya bidhaa zao ili wao kwa wao washindane kiuchumi na kijeshi nk.

Sioni sababu kwa nini africa tuendelee kuchagua slave/ colonial masters kila siku. Wao wanachofanya wanagawana mali zetu na kutugeuza masoko yao. Why tusisimame wenyewe wao ndio tuwageuze masoko yetu?

Why tunataka kuhama mkoloni mmoja twende kwa mwingine? Je hii ndio uelekeo sahihi? Sidhani kama tunatatua matatizo ya Africa kwa kumkimbilia Russia ambaye ni slave/colonial master mwingine tu. Its like an old wine in a new cup (wenyewe wazungu wanasema).

The fact that they sin differently it doesn't mean they are not sinners.

In the end wao wanagawana malighafi na wanatugeuza masoko ya bidhaa wanazotengeneza halafu wakishaona kila.mmoja anapata equal share yake bila kelele basi wanakaa pamoja wanatengeneza PACT wanaiita jina fulani kwamba wamesitisha vita au msuguano then wanapiga cheers wanatung'ong'a tu.

Read the book:
The New Confessions of an Economic Hit Man- Book by John Perkins.
 
Watu smart ndo wanaelewa hakuna tofauti ya mchina na USA na wengine...

Ingawa binafsi naona wafaransa washenzi zaidi na nchi za west Africa Acha tu ziondoke kwenye ukoloni wa Ufaransa...lakini kushabikia urusi na China ni upumbavu kabisa

Bado tunaonesha kuwa hatuko matured enough kujitawala na kubadilisha Viongozi peacefully...
 
Watu smart ndo wanaelewa hakuna tofauti ya mchina na USA na wengine...

Ingawa binafsi naona wafaransa washenzi zaidi na nchi za west Africa Acha tu ziondoke kwenye ukoloni wa Ufaransa...lakini kushabikia urusi na China ni upumbavu kabisa

Bado tunaonesha kuwa hatuko matured enough kujitawala na kubadilisha Viongozi peacefully...
Hata hao wakubwa hawakubadili uongozi peaceful Russia, U.S.A, France, China na wengineo wote hao walileteana noma wenyewe kwa wenyewe way back huko.

Bongo naona ndipo tunapo elekea huko baada ya Nyerere kukoswa koswa na baadae kutulia kidogo ila miaka inayo fuata mtifuano unaweza tokea
 
Watu smart ndo wanaelewa hakuna tofauti ya mchina na USA na wengine...

Ingawa binafsi naona wafaransa washenzi zaidi na nchi za west Africa Acha tu ziondoke kwenye ukoloni wa Ufaransa...lakini kushabikia urusi na China ni upumbavu kabisa

Bado tunaonesha kuwa hatuko matured enough kujitawala na kubadilisha Viongozi peacefully...
Upo sahihi brother, Ufaransa wametibua sana kule West Africa na hawaoni shida kuingia waziwazi hii lakini naona huu ndio utaratibu wa ujasusi wao maana hata kule Haiti nk wamefanya hivyohivyo tu.

Waweza kuona ushenzi wa ujasusi wao kuna visiwa mpaka leo vinatawaliwa na mfaransa kama Reunion Island nk. Yani ni department of France.

Lakini hii yote imesababishwa na kutokuwa na fikra huru. Wacha hao wafaransa waondolewe huko West Africa lakini kumbuka anayewasaidia kufanya hivyo ni Russia then mfaransa akishaondolewa Russia atatengeneza huge debt kwa wale jamaa ili wamlipe in kind (barter exchange) hapo ni yaleyale tu.

Mind you, Russia anatumika kutengeneza economic shake up kwa dunia ili waliojiwekeza vihela vyao waishiwe wabaki walewale super powers

Its just a game.
 
Back
Top Bottom