Africa Top 10 airports

Africa Top 10 airports

The 2018 World Airport Awards - Skytrax

1 Singapore Changi
2 Seoul Incheon
3 Tokyo Haneda
4 Hong Kong
5 Doha Hamad
6 Munich
7 Centrair Nagoya
8 London Heathrow
9 Zurich
10 Frankfurt
11 Tokyo Narita
12 Amsterdam
13 Kansai
14 Vancouver
15 Taiwan Taoyuan
16 Helsinki
17 Vienna
18 Shanghai Hongqiao
19 Copenhagen
20 Sydney
21 Cape Town
22 Brisbane
23 Dubai
24 Auckland
25 Hamburg

Africa Top 10

1 Cape Town
2 Durban
3 Johannesburg
4 Mauritius
5 Marrakech
6 East London
7 Seychelles
8 Port Elizabeth
9 Bloemfontein
10 Cairo

The World's Top 100 Airports in 2018
Chato sijaiona kwenye list yako
 
Siyo kweli mkuu.. Terminal 3 iki isha terminal 2 ita fanyiwa marekibisho makubwa. Hivyo vilivyo hapo siyo kivile sana
Tusifie japo kidogo wa kwetu... Terminal 3 hii hapa inakaribia kumalizika jamani

IMG-20180322-WA0031.jpeg
IMG-20180322-WA0037.jpeg
IMG-20180322-WA0034.jpeg
IMG-20180322-WA0029.jpeg
IMG-20180322-WA0032.jpeg
IMG-20180322-WA0036.jpeg
IMG-20180322-WA0030.jpeg
 
Na Hiyo JOmo Kenyatta International Museum
Iliruhusiwa direct flights to and fro the US so ukitaka ama wenzako wadanganyika wakitaka kuingia kwa trump lazima wapitie JKIA(International Museum) ...Kenya first. Take that to your nearest Bank.
Povu ruksa.
 
The 2018 World Airport Awards - Skytrax

1 Singapore Changi
2 Seoul Incheon
3 Tokyo Haneda
4 Hong Kong
5 Doha Hamad
6 Munich
7 Centrair Nagoya
8 London Heathrow
9 Zurich
10 Frankfurt
11 Tokyo Narita
12 Amsterdam
13 Kansai
14 Vancouver
15 Taiwan Taoyuan
16 Helsinki
17 Vienna
18 Shanghai Hongqiao
19 Copenhagen
20 Sydney
21 Cape Town
22 Brisbane
23 Dubai
24 Auckland
25 Hamburg

Africa Top 10

1 Cape Town
2 Durban
3 Johannesburg
4 Mauritius
5 Marrakech
6 East London
7 Seychelles
8 Port Elizabeth
9 Bloemfontein
10 Cairo
D5
The World's Top 100 Airports in 2018
Kwani hii awards inapeanwa namna gani? Dubai airport itakuwaje namba 23? Kwanza terminal 3 ni kali sana. Mtu yeyote hapa aliyetumia emirates atanielewa.
 
Sijui wametumia vigezo gani, lakini huwezi kuweka viwanja kama Amsterdam na Capetown ukaacha, JFK, Atlanta,na Texas
Wanawachaje Atlanta and it's one of the biggest airports in the world. Sijui ni vigezo gani hawa watu wametumia.
 
Kwani hii awards inapeanwa namna gani? Dubai airport itakuwaje namba 23? Kwanza terminal 3 ni kali sana. Mtu yeyote hapa aliyetumia emirates atanielewa.
Most Airlines from Africa or Asia use Atlanta airport as their first point of call
 
Top 10 best and worst airports in Africa… JKIA has been beaten by Kigali International Airport in Rwanda - Ghafla!

Best Airports in Africa 2016
1.Cape Town International Airport, South Africa (CPT)
2.Kigali International Airport, Rwanda (KGL)
3.Sir Seewoosagur Ramgoolam (Port Louis) International Airport, Mauritius (MRU)
4.Johannesburg O.R. Tambo International Airport, South Africa (JNB)
5.Algiers Houari Boumediene International Airport, Algeria (ALG)
6.Durban King Shaka International Airport, South Africa (DUR)
7.Rabat-Sale International Airport, Morocco (RBA)
8.Oujda Angads International Airport, Morocco (OUD)
9.Nairobi Jomo Kenyatta International Airport, Kenya (NBO)
10.Cairo International Airport, Egypt (CAI)
Worst Airports in Africa 2016
1.Juba International Airport, South Sudan (JUB)
2.Port Harcourt International Airport, Nigeria (PHC)
3.Nouakchott International Airport, Mauritania (NKC)
4.Douala International Airport, Cameroon (DLA)
5.N’Djamena International Airport, Chad (NDJ)
6.Dar-es-Salaam Julius Nyerere International Airport, Tanzania (DAR)
7.Zanzibar Abeid Amani Karume International Airport, Tanzania (ZNZ)
8.Lomé–Tokoin Airport, Togo (LFW)
9.Lagos Murtala Muhammed International Airport, Nigeria (LOS)
10.Marrakesh Menara Airport, Morocco
 
This is disgusting. Mbona utuoneshe picha za airport ya Oman, kwani nyinyi hamna airport?
Aisee...kumbe airport yetu babkubwa namna hii na inafanana na ya Oman, tumshukuru Mungu kwa kweli maana picha hizi ni za Terminal 3 wewe unasema za Oman. Hilo ndo tatizo la kuwaza kwamba wa Tz hatuna tunachoweza kufanya. Kwa JPM watu kama wewe mtasumbuliwa sana na kiungulia.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
The 2018 World Airport Awards - Skytrax

1 Singapore Changi
2 Seoul Incheon
3 Tokyo Haneda
4 Hong Kong
5 Doha Hamad
6 Munich
7 Centrair Nagoya
8 London Heathrow
9 Zurich
10 Frankfurt
11 Tokyo Narita
12 Amsterdam
13 Kansai
14 Vancouver
15 Taiwan Taoyuan
16 Helsinki
17 Vienna
18 Shanghai Hongqiao
19 Copenhagen
20 Sydney
21 Cape Town
22 Brisbane
23 Dubai
24 Auckland
25 Hamburg

Africa Top 10

1 Cape Town
2 Durban
3 Johannesburg
4 Mauritius
5 Marrakech
6 East London
7 Seychelles
8 Port Elizabeth
9 Bloemfontein
10 Cairo

The World's Top 100 Airports in 2018
Geza, what do you have to say about the fact that Kenya airways is among top 100 airlines of the world

Screenshot_2018-03-24-10-44-36.png
Screenshot_2018-03-24-10-44-59.png
Screenshot_2018-03-24-10-45-27.png
 
Aisee...kumbe airport yetu babkubwa namna hii na inafanana na ya Oman, tumshukuru Mungu kwa kweli maana picha hizi ni za Terminal 3 wewe unasema za Oman. Hilo ndo tatizo la kuwaza kwamba wa Tz hatuna tunachoweza kufanya. Kwa JPM watu kama wewe mtasumbuliwa sana na kiungulia.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Wewe umevuta bangi miaka mingi mpaka sasa una akili kama ya mtoto mdogo. Peleka ukumbavu huko. Potelea mbali saitan.
 
yaani orodha ya top ten ya aftica south africa peke yake viwanja vyake vitano vipo top ten dy
 
Sijui wametumia vigezo gani, lakini huwezi kuweka viwanja kama Amsterdam na Capetown ukaacha, JFK, Atlanta,na Texas
I wonder Marekana haujaingizwa uwanja hata mmoja ilhali O'Hare airport ya Atlanta ndo inaongoza kwa wingi wa abiria. Ama wameangalia miundombinu tu bila kuangalia u bize wa uwanja?
 
Back
Top Bottom