Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
East Africa kushuka mpaka South Africa tunapenda sana pombe, mkombokti anapendwa si wanaume wala wanawake. Usishangae kukuta mtu anaamka asubuhi na kuanza siku kwenye grocery.
Tofauti na Central mpaka West Africa, wenzetu wanapenda msosi. Wanajivunia chakula chao, katika miji mikubwa mingi ya dunia hutakosa restaurants za wa Congo, Cameron, Nigeria au Ghanaians, ingawa zinakuwa kando kidogo ya miji.
Vyakula kama ugali wa mhogo wa Nigeria wanaita 'amala' ni kawaida kuvipata Paris, Berlin, London na kwingineko. Ni kawaida kwa mkaka wa ki-Nigeria kukata sahani mbili za ugali hotelini bila wasiwasi, hili kwa kaka zangu wa Tanzania ni gumu kidogo.
Kuna ukweli hapa na nini kinatufanya tupende sana pombe?