Africa tulivyogawanyika

Africa tulivyogawanyika

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
East Africa kushuka mpaka South Africa tunapenda sana pombe, mkombokti anapendwa si wanaume wala wanawake. Usishangae kukuta mtu anaamka asubuhi na kuanza siku kwenye grocery.

Tofauti na Central mpaka West Africa, wenzetu wanapenda msosi. Wanajivunia chakula chao, katika miji mikubwa mingi ya dunia hutakosa restaurants za wa Congo, Cameron, Nigeria au Ghanaians, ingawa zinakuwa kando kidogo ya miji.

Vyakula kama ugali wa mhogo wa Nigeria wanaita 'amala' ni kawaida kuvipata Paris, Berlin, London na kwingineko. Ni kawaida kwa mkaka wa ki-Nigeria kukata sahani mbili za ugali hotelini bila wasiwasi, hili kwa kaka zangu wa Tanzania ni gumu kidogo.

Kuna ukweli hapa na nini kinatufanya tupende sana pombe?
 
Kuna kaukweli kwenye Hili, sijapata ona waafrika walevi kama Kenyans na Zambians, wakati West Africans wanapiga jollof siku nzima. Halafu hawa jamaa wanakula nyoka, nyani, chura nk hasa Liberian.
 
Wao kwao kila kinachotembea ni halali, kwa pombe wanatuheshimu wao hwajiwezi si kivile
 
Inawezekana inachangiwa kutoka enzi za ukoloni na udini pia.
West Africa walitawaliwa na idadi ndogo ya wakoloni. (nikimaanisha mataifa machache)
Ukija east Africa na South utaona kulikuwa na Mataifa mengi yakikoloni. ..na wengi wao ni wapenzi wa kunywa pombe. ....mfano wajerumani na waingereza.

Kwa upande wa kidini. ...west Africa wako na watu wengi wenye Imani ya Kiislam inayokataza Pombe tofauti na East Africa-ukristo unasema kunywa Kwa kiasi.

Exposure pia inasaidia....west Africans wamepata exposure mapema sana kulingana na East Africans.

Ni mtazamo wangu.....
 
Good point mkuu, ingawa Nigeria ilitawaliwa na Uingereza lakini bado Uislam uko imara na kuna mvutano mkubwa kati ya dini hizi mbili, Mali, Gambia na Senegal pombe haiuziki kabisa.
Cameron walitawaliwa na wa
-Jerumani pia kama sisi na Namibia
 
Sasa hapo ndio tunaona nani alikuwa na maarifa yakuendeleza tamaduni zao Au zile za mkoloni. .....West walisimama Imara kushikilia Tamaduni zao ikiwepo mavazi, chakula, lugha na dini pia....
wa East tukaona ni vyema kuiga kila kitu....matokea yake ndio hayo. .....
Staple food ya East/South Africa zinafanana sana.... Wakati West hawaingiliani kila mtu na msosi wake. ....
 
Yaa ugali is our universal meal, Botswana wanaita papa, Zimbabwe sadza, pia nguo tumepoteza kabisa vazi la asili
 
Songhai Empire ilikuwa dola kubwa ilyotawala West Africa karibu yote na ilieneza Dini ya Kiislam, hata tohara pia West Africans ni lazima lakini Southern of Africa mikono ya sweater ndiyo mpango mzima
 
Wao kwao kila kinachotembea ni halali, kwa pombe wanatuheshimu wao hwajiwezi si kivile
Unajua hawana vitambi hata akila sahani 10 mfano waghana na kenke yao. Bankuu yao sawa na ugali wa kwamtogole. Sie miili yetu inashukrani ukila kidogo likitambi hilo ndo maana starehe yetu kubwa ni kilevi na k! Utawikia mtu analamika kuwa tangu asubuhi sijalamba bia
 
Ni kwasababu tunapata extra calories za pombe baada ya chakula
 
Songhai Empire ilikuwa dola kubwa ilyotawala West Africa karibu yote na ilieneza Dino ya Kiislam, hata tohara pia West Africans ni lazima lakini Southern of Africa mikono ya sweater ndiyo mpango mzima
pengine mikono ya sweta ndo inatufanya tuwe na wivu. Hivi unajua west Africa mtu anakuachia mke unagida ili mradi utoe fedha?
 
Kila nchi na taratibu zake.Acha watu wapombeke mkuu maana ni njia ya kumaliza mawazo ya kimaisha japo kwa muda
 
Back
Top Bottom