Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 333
- 1,261
ππ nimesikitika sanahapo Jangwani karibu na Ofisi ya club kubwa Africa pananuka MAVI miaka nenda rudi..
Sisi hatuna ustaarabuAfrika ustaarabu ni 0, ninapochoka ni pale mtoto kalala ila utamsikia mzazi anamuamsha amtume! Kwanini usisubiri mpaka aamke?
Kuku ikipikwa minofu ya baba na wageni, migongo ya watotoπSisi hatuna ustaarabu
Tuna ubinafsi sana hiki kitu huwa sikipendi sana Mimi hata nikinunuaga samaki au kuku nagawana sawa kwa sawa na familia yangu πKuku ikipikwa minofu ya baba na wageni, migongo ya watotoπ
Bora nionekane mchoyo kuliko kuwalisha watoto wangu miguu ya kuku kwa mgeni wa kupitaTuna ubinafsi sana hiki kitu huwa sikipendi sana Mimi hata nikinunuaga samaki au kuku nagawana sawa kwa sawa na familia yangu π
Exactly π― mgeni yake soda tu akiendelea kukaa unamzuga na movie afu unamwambie twende tukatembee tukashangae mji wageni wanapenda sana kamselelekoBora nionekane mchoyo kuliko kuwalisha watoto wangu miguu ya kuku kwa mgeni wa kupita
Kula atakula lakini sio minofu yote watoto wangu wakose! Nyumba zingine mgeni anaekewa mapaja mawili na kidali kwangu hamna hiyo paja moja na mgongoπExactly π― mgeni yake soda tu akiendelea kukaa unamzuga na movie afu unamwambie twende tukatembee tukashangae mji wageni wanapenda sana kamseleleko
Mimi nikiwa mgeni wako π napata mapaja mawili na uji mzigo π₯Kula atakula lakini sio minofu yote watoto wangu wakose! Nyumba zingine mgeni anaekewa mapaja mawili na kidali kwangu hamna hiyo paja moja na mgongoπ
Umenikumbusha kipindi nipo mafikinga Kuna mahali nilikaribishwa kula nilikuwa napiga fasta Mchele mixer nyama nikashangaa mwenyewe kanishika mkono ππ hii ilitokea nikiwa na miaka 10 enzi hizo dah! Niliambiwa inatosha kijanaKula atakula lakini sio minofu yote watoto wangu wakose! Nyumba zingine mgeni anaekewa mapaja mawili na kidali kwangu hamna hiyo paja moja na mgongoπ
Ulileta uroho!πUmenikumbusha kipindi nipo mafikinga Kuna mahali nilikaribishwa kula nilikuwa napiga fasta Mchele mixer nyama nikashangaa mwenyewe kanishika mkono ππ hii ilitokea nikiwa na miaka 10 enzi hizo dah! Niliambiwa inatosha kijana