For my self i cant open that video either you know about tozo na miamala after, so write short brief about video yako.
Up to all, Afrika tupo kuhifadhi mali kwa matumizi ya watu wengine na yawezekana ni mabeberu, hao jamaa wametupa elimu na dini ili tulemae na tusiweze kutumia akili zetu ili mali zilizopo afrika zisiweze kutumiwa na sisi wenyewe kwa manufaa yetu.
Angalia viongozi woote wa kiafrika wanapokuwa kabla ya kushika usukani wa kuongoza mataifa yao na baadaye wakiwa madarakani wanavyokuwa, kuna sumu mbaya sana ipo afrika na haijulikane imewekwa kwenye pembe gani ya bara hili, siku ikijulikna ilipo na kuondolewa ndipo utashangaa Afrika inakuwa juu kwa nyanja zote.
Chukua ule msemo wa Late Father of Nation Mwl. Julius Kambarage Nyerere Yule jamaa aliyepewa sijui shanga or goroli naye akampa beberu dhahabu jamaa akaondoka anashangilia kama zuzu...