Africa yaendelea kuikataa Kenya, Ghana yachaguliwa kuwa makao makuu

Kwa hivyo pia Ethiopia, Senegal, Madagascar, Swaziland na Egypt hawakubaliki Afrika pia kwa vile hawakuipata fursa hii?
Jamaa chuki yako dhidi ya Nyang'au inakupa upofu.
Hawa wajinga roho chafu wangependa sana kuiona Kenya ikiporomoka
 
Acha uongo nchi zilizokuwa zimebakia ni Nigeria na Eritrea ,Nigeria wamesaini wiki iliyopita wamebakia Eritrea pekee yake nao wapo mbioni kusaini baada ya uhasama na Ethiopia kumalizika
 
Acha uongo nchi zilizokuwa zimebakia ni Nigeria na Eritrea ,Nigeria wamesaini wiki iliyopita wamebakia Eritrea pekee yake nao wapo mbioni kusaini baada ya uhasama na Ethiopia kumalizika
Nimekuelewa. Miezi miwili iliyopita nchi ambazo zilikuwa zimesalia zilikuwa tatu, Tanzania, Nigeria na Eritrea. Mlifanya uamuzi wa busara, wa kujiunga na mkataba huu hata kama ilikuwa ni dakika za lala salama. Bure mngeendelea kuvimbisha kichwa ingekula kwenu.
 
If you mention about Ghana in Afrikan platform, no any fellow will show doubts.
But if you mention about Kenya, everyone will be like, tutolee hii mwizi. Asije akatupa dhahabu fake.
 
If you mention about Ghana in Afrikan platform, no any fellow will show doubts.
But if you mention about Kenya, everyone will be like, tutolee hii mwizi. Asije akatupa dhahabu fake.
Siamini hata chembe moja cha haya maneno yako. Juzi tu hapa ulituambia kwamba tayari mmetenga sehemu kubwa kule Arusha. Eti ndio yatakuwa makao makuu ya AfCFTA.
 
Siamini hata chembe moja cha haya maneno yako. Juzi tu hapa ulituambia kwamba tayari mmetenga sehemu kubwa kule Arusha. Eti ndio yatakuwa makao ma
It is an exercise in futility trying to reason with these guys. The best thing is just to give information on Kenyan exceptionalism to get them boiling with anger.
 
Hakuna kauli ya kifala kama kila kitu kusingizia wazungu!! Mara mabeberu, mara vibaraka.. hakuna justification ni upuuzi mtupu...
Kenya Ni Vibaraka wa Wazungu, hata wao wanalifahamu hilo,
Kumbuka ni Kenya pekee ilijitokeza kutetea kauli ya Trump alipoitusi Africa, pamoja na hatua ya Trump kutambua Jerusalem kama makao makuu ya Israel.
 
Nilishakwambiaga uache ushoga. Hapo nimeamua kutumia akili za mleta mada. Kwa kiingereza wanaita 'pun'. Kama hujaelewa jua kwamba hayakuhusu na unawashwawashwa bure tu.
[emoji23], acha miraa buda. Nishakwambiaga mm shoga, wewe nishakusoma unasema unakula miraa. Unasingizia pun wakati u were high with miraa. Eti hawajatuma bid alafu wamekataliwa, jinga kweli we jamaa. Pun intended my foot. Acha miraa we fara.
 
Fara ndio nini? Kumbe ni kweli kwamba wewe ni boflo? Tena boflo mshamba? Unatakaje sasa, utaendelea na umbea wa kike au utajadili hoja? Maanake hakuna options nyingine, usinifate PM, mimi napenda papuchi na namuogopa Mungu.
 
Siamini hata chembe moja cha haya maneno yako. Juzi tu hapa ulituambia kwamba tayari mmetenga sehemu kubwa kule Arusha. Eti ndio yatakuwa makao makuu ya AfCFTA.

Aha ha ha
Kaka huu mchezo hauhitaji hasira. Wee ngoja tuache wakati uamue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…