Chairperson wa OAU/AU ni muhula wa mwaka mmoja, Daniel Moi alipewa u chaiperson wa OAU miaka mitatu mfululizo!!! Tena Kenya ndo ilipata OAU/AU chairperson kabla Tanzania kupewa ilhali tanzania ilikua ya kwanza kuform OAU....Hakuna Rais wa nchi yoyote nyengine ashawahi kupewa AU chairman miaka mitatu mfululizo!
https://en.wikipedia.org/wiki/Chairperson_of_the_Organisation_of_African_Unity
Alafu tukija kwa chairperson/Sec general wa AUC, Ukiangalia kihistoria nchi ndogo ndogo ambazo hazina geopolitical au political influence yoyote ndo hua zinapewa uongozi wa AUC, tukuanza na current AUC chair Moussa faki wa Chad, nchi ambayo haina any political clout in Africa, Nchi ambayo iko na military base ya mfaransa, UK, US... .. Nchi zengine ambazo zimeshikilia AUC ni Ivoru coast, Mali, Togo, Niger, Guinie, Cameroon imeshikilia mara mbili, Gabon, Infact when SA vyied forthat position Nigeria and Egypt walipinga vikali manake nchi zenye influence kubwa Africa hazipaswi kutafuta AUC chairperson....
And FYI, Kenya ilishikilia Deputy AUC chairperson kwa mihula miwili mfululizo kutoka 2008 hadi 2017, tena kwa kushinda na 98% of votes za marais wote wa Africa, (hio 2% must have been Tanzania)
View attachment 1151202
au.int
At the time Amina mohamed alikua anatafuta AUC chairman, Erastus Mwencha wa Kenya alikua yeye ndo deputy AUC chairman, Amina alipokosa, bado Erastus alipewa muhula wa pili, tena kwa 98%, hii inaonyesha hao marais wa Africa waliheshimu Kenya baada ya kukosa chairperson ilikua hakuna nchi nyengine itapewa Deputy.....
Mpaka kuna watu huku Kenya wakati huo walikua wanajiuliza kwanini huyu Erastus hakuchaguliwa na Kenya badala ya Amina?
------------------
Mr. Mwencha was elected in January 2008, as Deputy Chairperson of the African Union Commission by the Heads of State and Government of the 54 Member States of the African Union and re-elected to the same position in July 2012 with an overwhelming vote of 98%.
Now, with a Kenyan already holding such a high position in the African Union Commission, and with support from 98% of the Heads of State and Government of the 54 Member States of the African Union, won’t it be prudent for the Kenyan President and his Deputy to support him for the Chairmanship of the African Union Commission? That is, if the driving factor in all this is 1) Qualification and 2) The desire for an East African to be the AUC chairmanship?
---------
Kabla AUC, huyo erastus alikua Secretary General wa COMESA kwa miaka kumi mfululizo yeye ndo anatambulika kwa kufanya COMESA kua
the largest free trade area (FTA) in Africa.
Wewe endelea na hizo story zako za vijiweni za kwamba eti Kenya haikubaliki Africa, Mbali na Chairmanship kuna commisions nyingi sana za AU ambazo wakenya wanazingoza ...