FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Tulawaka kaka
Pole Wababa ma HR wa siku hizi wana matatizo ,naomba nikupe mbinu mbadala mpigie umuulize ndugu kwani unataka shilingi ngapi ,usikie jibu lake ,Kama hajakwambia kesho kutwa njoo kazini tutaongea Ila tumia akili yako ya kumuingia wanapenda mshiko sana ..mshahara wa kwanza ukitoka mnagawana ,all the best:A S-coffee:
Mie simo