African beauty ni bonge la wimbo

Jamani sichoki kuusikiliza huu wimbo. Dimond hachoshi jamani kutizamwa. Na huyo Omarion jee kaua mbayaaa yani ana mzuka wa kucheza mpaka raha aisee. Beat imetulia mnoo yani ki ufupi inachezeka na kusikilizika. Biggggg upppp Dimond God bless you
Diamond akiimba nyimbo za kutulia zinakuaga bomba sana,si unakumbuka balaa la Ntampata wapi,Ukimwona...
 
Biti kama ile laizer hawezi kutengeneza maisha. Diamond ahamie kwenye mabiti ya ki niger ni makali , biti za laizer nyepesi sana
Hahah sasa mbona wanaeka tagline ya "eyoo laiiizerrr" kumbe mkono sio wake
 
Mi pia sichok kuusikiliza ...ila kila nikiudownload unagoma cjui mpk tununue album
 
Hahah sasa mbona wanaeka tagline ya "eyoo laiiizerrr" kumbe mkono sio wake
mwanzo inakuja signature ya kritzbeats thn mwisho ndo eyo laizeer...nazani kwa namna moja au nyengn laizer kahusika na magic fingers zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…