African beauty ni bonge la wimbo

African beauty ni bonge la wimbo

Jamani sichoki kuusikiliza huu wimbo. Dimond hachoshi jamani kutizamwa. Na huyo Omarion jee kaua mbayaaa yani ana mzuka wa kucheza mpaka raha aisee. Beat imetulia mnoo yani ki ufupi inachezeka na kusikilizika. Biggggg upppp Dimond God bless you
Diamond akiimba nyimbo za kutulia zinakuaga bomba sana,si unakumbuka balaa la Ntampata wapi,Ukimwona...
 
Mi pia sichok kuusikiliza ...ila kila nikiudownload unagoma cjui mpk tununue album
 
Hahah sasa mbona wanaeka tagline ya "eyoo laiiizerrr" kumbe mkono sio wake
mwanzo inakuja signature ya kritzbeats thn mwisho ndo eyo laizeer...nazani kwa namna moja au nyengn laizer kahusika na magic fingers zake
 
Back
Top Bottom