Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Asante kwa kunisahihisha.beautiful
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kunisahihisha.beautiful
God doesn't do mistakes!! He is right even in you see wrongsGod beautifully created Africans, and then mistakenly created Museveni.
God doesn't do mistakes!! He is right even in you see wrongs
Lakini hazijafikia uzuri wa Indian hair.
Unaweza ukasimama na kipilipili chako mbele dada wa Kihindi halafu ukatamba na nywele zako?
Nywele za kipilipili zipo au hazipo?
Ha ha na anadai anapendwa na wanaanchi,na wanamtaka aendelee kutawala..God beautifully created Africans, and then mistakenly created Museveni.
Kuliko za kihindi kama hutaki kajinyongeLakini hazijafikia uzuri wa Indian hair.
Unaweza ukasimama na kipilipili chako mbele dada wa Kihindi halafu ukatamba na nywele zako?
Hakuna mtu anayeacha kitu kizuri na kufuata kibaya,nadhani umenielewa.Nywele zetu ni nzuri bwana Kuliko za kihindi kama hutaki kajinyonge
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hazijafikia uzuri wa Indian hair.
Unaweza ukasimama na kipilipili chako mbele dada wa Kihindi halafu ukatamba na nywele zako?
Bila shaka unaandika nafsi ikiwa inakusuta.To hell with Indians.. Shapeless, odourfull, yaan ukitumwa wanawake wazuri Indian usiwaweke kabisaa.. alaf mbaya zaidi wana roho mbaya kishenzi.. acha kufananisha Watoto was kibantu na Mbolea za ajabuajabu we sharukani..