Ni bussness strategy hii mzeeKukwepa views kusua sua, African boy kaona isiwe tabu.
View attachment 3512430
Lipia tu ata wakiona mabots na Wahindi kikubwa namba zisome.
Atawapa tu ngoja mambo yakae sawaBado hawajasema si walimuamini mama yao, awape hela sasa za kununulia ugali.
Naunga mkia hoja.Waende kwenye ofisi za ccm kuhakikisha kila mtu hapo ofisini wameangalia kazi zao
Cc Tumbili in townNaunga mkia hoja.
😂😂😂😂😂
Hana jeuri hiyo, yeye mwenyewe njaa inamuuma maana wazungu wamemfungia madilisha ya misaada.Atawapa tu ngoja mambo yakae sawa