African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

Mazembe wanawawezea sana waarab...

Kazi kubwa wanayofanya ni kuwa-frustrate...
 
TP wanapata free kick karibia na 18 huenda ikazaa matunda
 
68' USMA wanapata kona. Kizaazaa lango TP Mazembe,goal kick
 
Ulimwengu anatembeza kiatu...kapigwa njano
 
Hawa waarabu leo wamejipanga sana kuliko siku ile kwao
 
72' penalt!! TP Mazembe wanapata penat
 
Mazembe wanapata penati....

Muda wa Samatta kuweka historia ndio huu...
 
Penati haina ubishi kabisa hawa waarabu wanazingua tu
 
Samatta Mbwana kapewa kazi.
 
Back
Top Bottom