Hivi gori la wazi linakuwaje ni kwamba hakuna kipa gorini au?TP wanakosa goli la wazi kabisa.
Foward alibaki yeye na kipa, beki akiwa hatua chache nyuma. ni lugha za kisoko haimaanishi kuwa alibaki yeye na nyavu.Hivi gori la wazi linakuwaje ni kwamba hakuna kipa gorini au?
Hivi gori la wazi linakuwaje ni kwamba hakuna kipa gorini au?
Hawa waarabu leo wamejipanga sana kuliko siku ile kwao