African Champions League Final: TP Mazembe Vs USMA - Nov 8, 2015

Gooooal.
TP wanapata Goli kwa penalt kupitia Samatta.
 
Samatta anachukua mpira anauweka katika kisosa cha kupigia penati...

Kipa wa Alger anarudi nyuma anakaa sawa...

Gooooooallll

Dk 74

Mazembe 1 - 0 USM
 
Mbwana samatta wa tanzania ameweka historia kuwa mfungaji bora wa michuano ya kombe la mabingwa africa. Goli la 8
 
Samatta mpigaji nzuri sana wa penati, nashangaa siku ile wakampa mwingine akapoteza ile penati ya kwanza
 
. Toka dunia ianze,kwa mara ya kwanza Mtanzania anakuwa mfungaji bora michuano ya kombe la mabingwa Africa. Watanzania wawili wakicheza mchezo wa fainali ya michuano hiyo,uwezekano watashinda. Ni siku ya 4 tangu kuapishwa Rais wa awamu ya 5,mwenye kauli mbiu" Hapa kazi tu".
87' 1-0, Agg 3-1
 
Mbwana ally samata na Thomas ulimwengu we are proud of you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…