African Countries by number of Dollar Millionaires

African Countries by number of Dollar Millionaires

Najua inauma but itabidi muzoee. Wacha niwape a different source alafu tuone mtaambia nini watu. 😂 😂 😂

Unaendelea kuokoteza vitaarafa kwenye vidomain uchwara.
Tanzania inakuumiza sana.
Screenshot_20201124-231610.png
Screenshot_20201124-231637.png
Screenshot_20201124-231657.png
Screenshot_20201124-231726.png
 
1. South Africa - 39,200 millionaires
2. Egypt - 16,700 millionaires
3. Nigeria - 9,900 millionaires
4. Kenya - 8,600 millionaires
5. Morocco - 4,600 millionaires
6. Mauritius - 4,400 millionaires
7. Ethiopia - 3,200 millionaires
8. Angola - 3,200 millionaires
9. Ghana - 2,900 millionaires
10. Ivory Coast - 2,500 millionaires

Kenyans are always fake
 
Hii uliyofungulia uzi ni ya mwaka gani?

Yaani kazi ni kupika data ili mshindane na Tanzania,

Hampendi kuishi kwenye uhalisia [emoji23][emoji23][emoji23]

Hiyo denial stage inawasumbua mnoo,

Ona link uliyoambatanisha kwenye huu uzi wako ilivyo kuumbua...October 8 2019.View attachment 1634164
Anatuletea taarifa za makaburu sisi.
Jamaa wanaweweseka kweli.
Screenshot_20201124-232742.png
 
Najua inauma but itabidi muzoee. Wacha niwape a different source alafu tuone mtaambia nini watu. 😂 😂 😂

The writer of this article is Peter. Is a freelancer of the same website you posted on this thread.
So there are connected dots.
Tulia tukupe shule dogo.

Screenshot_20201124-233251.png
 
Hii uliyofungulia uzi ni ya mwaka gani?

Yaani kazi ni kupika data ili mshindane na Tanzania,

Hampendi kuishi kwenye uhalisia [emoji23][emoji23][emoji23]

Hiyo denial stage inawasumbua mnoo,

Ona link uliyoambatanisha kwenye huu uzi wako ilivyo kuumbua...October 8 2019.View attachment 1634164
Babayao0255 ni nomaaah babakeee
 
Nchi inajigamba iko na many millionaires na faida za banks, tax collection, Ni za chekechea,
Izo pesa wanaweka kwa socks?
 
Hii uliyofungulia uzi ni ya mwaka gani?

Yaani kazi ni kupika data ili mshindane na Tanzania,

Hampendi kuishi kwenye uhalisia [emoji23][emoji23][emoji23]

Hiyo denial stage inawasumbua mnoo,

Ona link uliyoambatanisha kwenye huu uzi wako ilivyo kuumbua...October 8 2019.View attachment 1634164
Hehehe............naona hamuamini ukweli kabisa. 😂😂
 
Kumbe ni huyu takataka aliyekuwa anaeneza propaganda na uwongo kuhusu Tanzania kipindi kile cha corona [emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongolala yani hampendi ukweli kabisa. Hivi munataka nani aandike ndio muamini? Kenya imekuwa juu ya Tanzania kwa utajiri tangu miaka ya early 90s. 😂 😂
 
Back
Top Bottom