Destruction
JF-Expert Member
- Feb 3, 2020
- 260
- 418
Hii ya 2018 bossNajua inauma but itabidi muzoee. Wacha niwape a different source alafu tuone mtaambia nini watu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Where Africaβs rich live - The Africa Report.com
Despite Africa containing 16% of the worldβs population, it has only accumulated 1% of the worldβs wealth of $204trn.www.theafricareport.com
Unaendelea kuokoteza vitaarafa kwenye vidomain uchwara.Najua inauma but itabidi muzoee. Wacha niwape a different source alafu tuone mtaambia nini watu. π π π
Where Africaβs rich live - The Africa Report.com
Despite Africa containing 16% of the worldβs population, it has only accumulated 1% of the worldβs wealth of $204trn.www.theafricareport.com
Hii uliyofungulia uzi ni ya mwaka gani?Tuko 2020, achana Na tweets za 2019.
Kenyans are always fake1. South Africa - 39,200 millionaires
2. Egypt - 16,700 millionaires
3. Nigeria - 9,900 millionaires
4. Kenya - 8,600 millionaires
5. Morocco - 4,600 millionaires
6. Mauritius - 4,400 millionaires
7. Ethiopia - 3,200 millionaires
8. Angola - 3,200 millionaires
9. Ghana - 2,900 millionaires
10. Ivory Coast - 2,500 millionaires
10 African Countries With The Most Super-Rich Residents
Where do the 140,000 super-rich Africans considered to be high-net-worth individuals choose to live and which countries are home to the most wealthy people.moguldom.com
Anatuletea taarifa za makaburu sisi.Hii uliyofungulia uzi ni ya mwaka gani?
Yaani kazi ni kupika data ili mshindane na Tanzania,
Hampendi kuishi kwenye uhalisia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo denial stage inawasumbua mnoo,
Ona link uliyoambatanisha kwenye huu uzi wako ilivyo kuumbua...October 8 2019.View attachment 1634164
Link alizoziambatanisha zimemuumbua [emoji23][emoji23][emoji23]
The writer of this article is Peter. Is a freelancer of the same website you posted on this thread.Najua inauma but itabidi muzoee. Wacha niwape a different source alafu tuone mtaambia nini watu. π π π
Where Africaβs rich live - The Africa Report.com
Despite Africa containing 16% of the worldβs population, it has only accumulated 1% of the worldβs wealth of $204trn.www.theafricareport.com
Halafu huyo huyo peter ni freelancer wa the same website ile ya kwanza.Link alizoziambatanisha zimemuumbua [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkunya kashikwa kila kona na uongo wake πHii ya 2018 boss
Babayao0255 ni nomaaah babakeeeHii uliyofungulia uzi ni ya mwaka gani?
Yaani kazi ni kupika data ili mshindane na Tanzania,
Hampendi kuishi kwenye uhalisia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo denial stage inawasumbua mnoo,
Ona link uliyoambatanisha kwenye huu uzi wako ilivyo kuumbua...October 8 2019.View attachment 1634164
Leo utapigana na Google hadi uchoke. hehehe π π πThe writer of this article is Peter. Is a freelancer of the same website you posted on this thread.
So there are connected dots.
Tulia tukupe shule dogo.
View attachment 1634168
Haya, tuletee ya 2020 basi. πππHii ya 2018 boss
Hehehe............naona hamuamini ukweli kabisa. ππHii uliyofungulia uzi ni ya mwaka gani?
Yaani kazi ni kupika data ili mshindane na Tanzania,
Hampendi kuishi kwenye uhalisia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo denial stage inawasumbua mnoo,
Ona link uliyoambatanisha kwenye huu uzi wako ilivyo kuumbua...October 8 2019.View attachment 1634164
Hizi takataka kazi ni kupika data ili washindane na Tanzania,Halafu huyo huyo peter ni freelancer wa the same website ile ya kwanza.
Huenda hawa ni jamaa zao lengo ni kuihujumu Tanzania.
View attachment 1634172
Wabongolala yani hampendi ukweli kabisa. Hivi munataka nani aandike ndio muamini? Kenya imekuwa juu ya Tanzania kwa utajiri tangu miaka ya early 90s. π πKumbe ni huyu takataka aliyekuwa anaeneza propaganda na uwongo kuhusu Tanzania kipindi kile cha corona [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya, tuletee hizo zako za domain isiyo uchwara tuone. π πUnaendelea kuokoteza vitaarafa kwenye vidomain uchwara.
Tanzania inakuumiza sana.
View attachment 1634160View attachment 1634161View attachment 1634162View attachment 1634163
Ukweli upi?Wabongolala yani hampendi ukweli kabisa. Hivi munataka nani aandike ndio muamini? Kenya imekuwa juu ya Tanzania kwa utajiri tangu miaka ya early 90s. [emoji23] [emoji23]
Tunapiga spana tu [emoji23][emoji23][emoji23]Babayao0255 ni nomaaah babakeee
Where is your source, stop bringing us snapshots.