Mbona data ya Kenya ni ya mwezi mmoja pekee unataka kucompare na Q3 ya Tanzania. Fanya comparison inayo eleweka kama mtu ameenda shule.Sio tu kwenye matumizi ya internet tunawizidi bali mpaka kwenye mobile money transactions, unaruhusiwa kwenda kujinyonga!
View attachment 2251520
Imeandikwa $5 B / month........ each July,........Mbona data ya Kenya ni ya mwezi mmoja pekee unataka kucompare na Q3 ya Tanzania. Fanya comparison inayo eleweka kama mtu ameenda shule.
So ju mulitushinda mwezi moja mko mbele? Kwani mwaka hua na mwezi moja pekee. 🤣 🤣 🤣
Hebu ao wengine tuletee tuone namba zao vile wanafanya kwa mtandao au youtube.Huyo ni msanii mmoja tu, vipi kila mtu maarufu Tanzania ana wafuasi wengi kutokea Kenya??. Siyo kweli.
Sio tu kwenye matumizi ya internet tunawizidi bali mpaka kwenye mobile money transactions, unaruhusiwa kwenda kujinyonga!
View attachment 2251520
Alafu source yake ni tweet kama kawaida.Mbona data ya Kenya ni ya mwezi mmoja pekee unataka kucompare na Q3 ya Tanzania. Fanya comparison inayo eleweka kama mtu ameenda shule.
Wacha ufala wewe....Jielimishe, hiyo hiyo Statisca
Tanzania 15.6
Kenya 23.35
Nchi maskini kama yenu ambayo elimu yenu bado hamuwezi kutuzidi kwenye mambo ya internet
Africa number of internet users by country 2024 | Statista
As of January 2024, Nigeria had more than 103 million internet users - the highest number reported all over Africa.www.statista.com
Wanapata tabu sabu sana wakiona hizi repoti.Kunyans are unhappy and uncomfortable hahaha,
Mbona mtapata tabu sana maana sasa hivi kila kitu mnazidiwa..
Ushapewa mfano na YouTube views za msanii wenu diamond n bado unabisha Eti mnatuzidi. Na hiyo ilikuwa ni ripoti ya YouTube TrendsNjoo na takwimu za Kenya ku dorminate hizo platform, siyo una list tu.
Nasisitiza mbali na Twitter hamna social media yoyote kubwa ambayo Kenya inawatumiaji wengi zaidi ya Tanzania.
Tukirudi kwenye hilo la baadhi ya kampuni kuweka base zao Kenya hi swala la sera za nchi na halina uhusiano wowote na idadi ya watumiaji wa internet.
Ingekuwa ni kweli hilo unalosema basi makampuni yote ya magharibi ya internet/teknolojia yangeweka base yake Nigeria maana ndiyo nchi yenye internet users wengi zaidi Afrika.
Point yake ni kwamba, hizo makampuni have more users in Kenya than in Tanzania.Hizo kampuni zote ulizo list zina operate Tanzania, sijaelewa pointi yako nini hapo.
Unamaanisha ripoti kama hizi Ama?Wanapata tabu sabu sana wakiona hizi repoti.
Nchi za Afrika kwa idadi ya watumiaji wa internet.
Hizi takwimu zina maanisha nini?. Tanzania ipo nyuma tu ya Afrika Kusini na Nigeria kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.
Tanzania ina watumiaji wa internet millioni saba zaidi ya Kenya, Kenya haijawahi kuwa na internet penetration ya asilimia 80% na zile takwimu ni fake (jambo ambalo wengi tushawahi lisema humu), Tanzania ipo vizuri kwenye internet penetration kwani tumezizidi Ethiopia na Dr Congo nchi zenye watu zaidi ya millioni 100.
N.B: Majirani zetu wa kaskazini huwa tunawaambia kila siku hamuwezi kuwa na watumiaji wengi wa internet, wakati kila social media mbali na Twitter, Tanzania ina idadi wengi ya watumiaji kuzidi Kenya.
View attachment 2250961