African Countries By The Number of Internet Users 2022

African Countries By The Number of Internet Users 2022

Hii Habari imeamsha waliolala [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mbona data ya Kenya ni ya mwezi mmoja pekee unataka kucompare na Q3 ya Tanzania. Fanya comparison inayo eleweka kama mtu ameenda shule.
Imeandikwa $5 B / month........ each July,........

2022-5-15_9-27-55.PNG
 
Kunyans are unhappy and uncomfortable hahaha,
Mbona mtapata tabu sana maana sasa hivi kila kitu mnazidiwa..
 
Njoo na takwimu za Kenya ku dorminate hizo platform, siyo una list tu.

Nasisitiza mbali na Twitter hamna social media yoyote kubwa ambayo Kenya inawatumiaji wengi zaidi ya Tanzania.

Tukirudi kwenye hilo la baadhi ya kampuni kuweka base zao Kenya hi swala la sera za nchi na halina uhusiano wowote na idadi ya watumiaji wa internet.
Ingekuwa ni kweli hilo unalosema basi makampuni yote ya magharibi ya internet/teknolojia yangeweka base yake Nigeria maana ndiyo nchi yenye internet users wengi zaidi Afrika.
Ushapewa mfano na YouTube views za msanii wenu diamond n bado unabisha Eti mnatuzidi. Na hiyo ilikuwa ni ripoti ya YouTube Trends
 
Nchi za Afrika kwa idadi ya watumiaji wa internet.

Hizi takwimu zina maanisha nini?. Tanzania ipo nyuma tu ya Afrika Kusini na Nigeria kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara.

Tanzania ina watumiaji wa internet millioni saba zaidi ya Kenya, Kenya haijawahi kuwa na internet penetration ya asilimia 80% na zile takwimu ni fake (jambo ambalo wengi tushawahi lisema humu), Tanzania ipo vizuri kwenye internet penetration kwani tumezizidi Ethiopia na Dr Congo nchi zenye watu zaidi ya millioni 100.

N.B: Majirani zetu wa kaskazini huwa tunawaambia kila siku hamuwezi kuwa na watumiaji wengi wa internet, wakati kila social media mbali na Twitter, Tanzania ina idadi wengi ya watumiaji kuzidi Kenya.

View attachment 2250961

To know the real number, not from Twitter screenshot, ask your Bongo stars, Diamond, Zuchu and the rest where most of their YouTube views come from.
 
Back
Top Bottom