Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
- Thread starter
-
- #21
Wakuu Tunaweza Kuangalia Wapi Hizi Mechi? Tusaidieni Wenzenu Twafa Na Presure Huku!
MWM nafikiri itakuwa rahisi kwako kupata info kuhusu swala hili kama utataja nchi uliyopo.
Mkuu tunashukuru sana kamanda.Ila hizi site uki download kuna kidudu TROJAN kinavinjari nimeshindwa kui download anti virus yangu ime ditect....labda kama kuna altenativenenda hapa kwenye hii site dowlod TVants
http://www.toggle.com/lv/software/download/kl44484.htm
Baada ya kudowlod nenda kwenye site hii hapa chini angalia supersport freee wanangu wa soka.
http://www.myp2p.eu/broadcast.php?matchid=5036&part=sports
Angalia hapo palipoandikwa CHANEL 3
nenda kwenye TVants click play na enjoy live game. Hii ni zawadi kwa footbola lava wote.
Kana-Kansungu Upoooooooooooooooo?.
Mkuu tunashukuru sana kamanda.Ila hizi site uki download kuna kidudu TROJAN kinavinjari nimeshindwa kui download anti virus yangu ime ditect....labda kama kuna altenative
Just imagine kama hii zahama inayowakumba wanamibia ingekua inatutokea saa hizi and I think that would have been the case, I dont think we were ready.
Ivory cost 1-0Nigeria ni Dakika ya 80
Ghana na gold zao zote wana tatizo kubwa sana la umeme! Tena ni sugu, hata wakati wa kusherehekea miaka yao 50 umeme uliwatia aibu...Aibu, noma, shame!! The whole world is watching and this happens- umeme umekatika wajameni!!!
Ghana na gold zao zote wana tatizo kubwa sana la umeme! Tena ni sugu, hata wakati wa kusherehekea miaka yao 50 umeme uliwatia aibu...
Cameroon keshapigwa Tatu bila, kipindi cha kwanza ndio kinaishia.